G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Geita Mhe. Gabriel Nimrod Kurwijila kilichotekea jana jioni tarehe 3/5/2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.