TANZIA: Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita amefariki dunia jana jioni

TANZIA: Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita amefariki dunia jana jioni

Watanzania Wengi ni wajinga hasa wa Chadema wanakesha mtandaoni wamesubiria mtu afariki

Finally, umekiri kuwa Watanzania wengi ni wajinga. Lakini muda mwingi unaoutumia hapa huwa unajitahidi kuwaaminisha watu kuwa Watanzania wengi wanamuunga mkono Magufuli; so what does that mean?

Wanaomuunga mkono Magufuli ni WAJINGA.
 
Nimesema mashabiki wa Chadema ni wajinga hawajitambui

Wapo kama nyumbu
Finally, umekiri kuwa Watanzania wengi ni wajinga. Lakini muda mwingi unaoutumia hapa huwa unajitahidi kuwaaminisha watu kuwa Watanzania wengi wanamuunga mkono Magufuli; so what does that mean?

Wanaomuunga mkono Magufuli ni WAJINGA.
 
Je, Kafariki kwa tatizo jipya la sasa la Kupumua au Kifo tu cha Asili ( Siku imewadia ) au Kimetokana na Mgeni kutokea China?
Au mfukizo umempalia au?🤷 Ulietoa uzi sema vizuri basi
 
Huyu siyo celebrity anapata vipi nafasi ya kuwekewa Tanzia?
 
Back
Top Bottom