Wizara ya afya imekataza maziko ya usiku ya kimya kimya.Atazikwa mchana??
Rip
Sorry, hii nayo ni habari?Mahakama ya Tanzania inatangaza msiba wa mtumishi wake
View attachment 1439419
Unakumbuka kuna kipindi Tz kulikua na habari za ajali kila siku? It was weird, kila baada ya muda ni update ya habari juu ya ajali. Wakikosa ajali ilikua unaletewa takwimu za ajali au hata ajali ya bajaji na pikipiki.Sorry, hii nayo ni habari?
Mahakama ya Tanzania inatangaza msiba wa mtumishi wake
View attachment 1439419
RIP Gabriel. Wadau wa Lugalo/Makongo Secondary School in the 90's watakukumbuka.Mahakama ya Tanzania inatangaza msiba wa mtumishi wake
View attachment 1439419
KifoChanzo Cha kifo