TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Bora hata ungekuwa labda umewafahamu na ulikuwa karibu nao ukaandika kama haya... ila kwasababu umeamua basi ungeita hii ni hadithi tu na wengi wamefikiria pia mengine uliyoyaandika.

Mola amempenda zaidi.
 
Hapa Babayake akisema kwa uchungu na anasema mwanae kafa kwa msongo wamawazo ambao amekaa nao kwa miaka 4 tangu zari aondoke!alifikia mahali hawezi kufanya mambo kama mzazi sababu ya mawazo.
 

Attachments

RIP Ivan! Pole wafiwa! Mola awatunze watoto wako watatu!
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuandika haya?!mwanaume mzima unamtuhumu mtu kusababisha kifo?!wewe unawafahamu hawa watu kiundani kweli au unawaona tu kwenye mitandao ya kijamii kama tunavyowaona sisi?!

Kwa taarifa yako huo ugonjwa wa Presha ni ugonjwa wa ukoo wa akina Ivan,baba yake na mama yake wote wamekufa kwa BP,hebu tujifunze kukaa kimya jamani kama hatujui kitu,sio kila linalokujia kichwani basi na wewe unataka uliseme,mengine hayapendezi abadani unaonekana kituko
 
Uko sahihi'
, Ata baba mzazi wa ivan amethibitisha ilo kwa kusema ivan alikuwa na depresion ya kuondoka kwa zari kwenda kwa daimond. Stress ndizo zilizokawa zinamsumbua alikuwa anashindwa ata kumsikiliza baba ake wakt anamshaur lkn yoteee hiii ni mapenzi kwa zari... kuna kipind diamond alikuwa anazungumzia anataka nunua rolls royce siku ya pili ivan akawa anaitumia hio gari na hii ilikuwa ni kweli kumwonesha zariii. Naunga mkono hoja mapenzi mabaya sana
 
RIP
u BOSSLADY MASHAKANI MWACHENI ZARI APIGANIE URITHI,AKIRUDI MADALE YULE MAMA ANAMSUBIRI KWA HAMU kwel kwel
kiukweli huyo Ivan alikua anasimamia show watoto hao 2 Zari kaleta ndani kama wanae bila kinyongo.
sasa majukumu yote yakimwangukia ndg yetu hapooo,na shughuli zenyewe hizi,mwanamke ni huyo bosslady.dogo nae ajiandae tu kwa heart attack.

picha hili stering kafa location.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…