witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
wale watoto wake the way walivyokua wanaishi kishua daahh
Hivi Zari yupo kweli humu Jf,,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale watoto wake the way walivyokua wanaishi kishua daahh
Hivi Zari yupo kweli humu Jf,,?
We umejuaje yote hayo? Mmbea kama wadada wa saluniHivi unapata wapi ujasiri wa kuandika haya?!mwanaume mzima unamtuhumu mtu kusababisha kifo?!wewe unawafahamu hawa watu kiundani kweli au unawaona tu kwenye mitandao ya kijamii kama tunavyowaona sisi?!
Kwa taarifa yako huo ugonjwa wa Presha ni ugonjwa wa ukoo wa akina Ivan,baba yake na mama yake wote wamekufa kwa BP,hebu tujifunze kukaa kimya jamani kama hatujui kitu,sio kila linalokujia kichwani basi na wewe unataka uliseme,mengine hayapendezi abadani unaonekana kituko
Huyo ni baba mdogo tu wa Ivan,Ivan alishazika wazazi wote wawili,na BP ndio ugonjwa unaowaua kwenye ukoo waoUko sahihi'
, Ata baba mzazi wa ivan amethibitisha ilo kwa kusema ivan alikuwa na depresion ya kuondoka kwa zari kwenda kwa daimond. Stress ndizo zilizokawa zinamsumbua alikuwa anashindwa ata kumsikiliza baba ake wakt anamshaur lkn yoteee hiii ni mapenzi kwa zari... kuna kipind diamond alikuwa anazungumzia anataka nunua rolls royce siku ya pili ivan akawa anaitumia hio gari na hii ilikuwa ni kweli kumwonesha zariii. Naunga mkono hoja mapenzi mabaya sana
Kachambe huko,hovyoo kama chooWe umejuaje yote hayo? Mmbea kama wadada wa saluni
Choko tu wwKachambe huko,hovyoo kama choo
Kama baba yako tu vile,ndie alonifundisha hata hivyo uchokooChoko tu ww
Zari awe makini na watoto wake wasije kurithi hilo gonjwa! Awapeleke wakaombewe mapema kuvunja hiyo spirit!Huyo ni baba mdogo tu wa Ivan,Ivan alishazika wazazi wote wawili,na BP ndio ugonjwa unaowaua kwenye ukoo wao
Nasema haya kutokana na sababu nitakazo zihainisha hapa chini ila ukweli kifo cha Ivan Semwanga chanzo chake nimapenzi sababu kuu ni Zari!
Ukiangalia tangu waachane na Zari Ivan hakuikubali ile hali na alijitahidi kumbembeleza Zari ila Zari hakutaka!
Na Ivan alitegemea Zari angerudi waendelee na maisha! ila baada ya kuzaa na Diamond Ivan alizidi kuishiwa tumaini la kuwa na Zari kwani alimpenda mno!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Katika hizi picha alikuwa akituma ujumbe kwa Zari! Rudi mama kama pesa ipo huku!pia ukumbuke Diamond alipost kuwa amenunua Hammer kesho naye aaapost ana Hammer3 hii yote nikuwa alimpenda sana Zari!
Pia katika kuachana Ivan hakuwahi kupost picha yoyote akiwa na mwanamke! aliamini hakuna mwanamke wakumchallenge Zari hivyo hakuona sababu yakujidhalilisha kwani alijua Zari ni mzuri sana, hivyo hakaona ajipe muda!na alitamani arudi ila maamuzi haya, hayakuwa upande wake!! kwani Zari alishamchoka!. Hivyo umauti huo umetokana na msongo mkubwa wa mawazo!. Nina hakika Mungu akimfungulia Zari kutafakari juu ya kifo cha Ivan atatambua yeye ndiye aliyesababisha!
Mara nyingi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu hutokea tunachokana na kutamani yavunjike hata kama tunawatoto!kutokana na maudhi madogo madogo!ila ujidanganya nakusema bora tuachane ila wakiondoka! baada ya wiki utamani kuwarudisha ila mara nyingi uogopa watu watanionaje!!mbaya wakienda ambapo hatuwezi kuwaona tena kama kufariki basi hapo ndipo huwa tunapatwa msongo wa mawazo!! na hasa kama wametuachia watoto!.
Taadhari ikikutokea usijixhanganye katika pombe tumia muda kukaa na familia na kuwa busy na watoto baada ya muda tafuta mwenza japo atakuwa halingani na yule na nivigumu kumpata kama yule!na mhalalishe mbele ya familia yako ili upate muda wakukaa naye ndani kuliko kutumia muda mkiwa hotelini!maana ukirudi kitandani kwako hali itaanza upya!
Hivyo nirudi katika mada kifo cha Ivan Semwanga kimesababishwa na msongo wa mawazo ya mapenzi juu ya Zari.
Yule sio baba yake.Uko sahihi'
, Ata baba mzazi wa ivan amethibitisha ilo kwa kusema ivan alikuwa na depresion ya kuondoka kwa zari kwenda kwa daimond. Stress ndizo zilizokawa zinamsumbua alikuwa anashindwa ata kumsikiliza baba ake wakt anamshaur lkn yoteee hiii ni mapenzi kwa zari... kuna kipind diamond alikuwa anazungumzia anataka nunua rolls royce siku ya pili ivan akawa anaitumia hio gari na hii ilikuwa ni kweli kumwonesha zariii. Naunga mkono hoja mapenzi mabaya sana
Nasema haya kutokana na sababu nitakazo zihainisha hapa chini ila ukweli kifo cha Ivan Semwanga chanzo chake nimapenzi sababu kuu ni Zari!
Ukiangalia tangu waachane na Zari Ivan hakuikubali ile hali na alijitahidi kumbembeleza Zari ila Zari hakutaka!
Na Ivan alitegemea Zari angerudi waendelee na maisha! ila baada ya kuzaa na Diamond Ivan alizidi kuishiwa tumaini la kuwa na Zari kwani alimpenda mno!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Katika hizi picha alikuwa akituma ujumbe kwa Zari! Rudi mama kama pesa ipo huku!pia ukumbuke Diamond alipost kuwa amenunua Hammer kesho naye aaapost ana Hammer3 hii yote nikuwa alimpenda sana Zari!
Pia katika kuachana Ivan hakuwahi kupost picha yoyote akiwa na mwanamke! aliamini hakuna mwanamke wakumchallenge Zari hivyo hakuona sababu yakujidhalilisha kwani alijua Zari ni mzuri sana, hivyo hakaona ajipe muda!na alitamani arudi ila maamuzi haya, hayakuwa upande wake!! kwani Zari alishamchoka!. Hivyo umauti huo umetokana na msongo mkubwa wa mawazo!. Nina hakika Mungu akimfungulia Zari kutafakari juu ya kifo cha Ivan atatambua yeye ndiye aliyesababisha!
Mara nyingi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu hutokea tunachokana na kutamani yavunjike hata kama tunawatoto!kutokana na maudhi madogo madogo!ila ujidanganya nakusema bora tuachane ila wakiondoka! baada ya wiki utamani kuwarudisha ila mara nyingi uogopa watu watanionaje!!mbaya wakienda ambapo hatuwezi kuwaona tena kama kufariki basi hapo ndipo huwa tunapatwa msongo wa mawazo!! na hasa kama wametuachia watoto!.
Taadhari ikikutokea usijixhanganye katika pombe tumia muda kukaa na familia na kuwa busy na watoto baada ya muda tafuta mwenza japo atakuwa halingani na yule na nivigumu kumpata kama yule!na mhalalishe mbele ya familia yako ili upate muda wakukaa naye ndani kuliko kutumia muda mkiwa hotelini!maana ukirudi kitandani kwako hali itaanza upya!
Hivyo nirudi katika mada kifo cha Ivan Semwanga kimesababishwa na msongo wa mawazo ya mapenzi juu ya Zari.
Teh teh teh duh.Mkuu huyo Zari unaemtetea tayari wanagombania mali na wakwe zake huko, tatizo mnajifanya mnawajua watu kama mnakaa nao kumbe mnawaona kwenye social media.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuachana ni kawaida.muhimu hawakuachana kwa ubaya. Yaani muanzisha uzi ushaanza kuwaza urithi hata marehemu hajazikwa. Baada ya Ivan kila mtu aliendelea kuwa na mahusiano mengine. Na ukiangalia interview za zari hakuwahi kumsema ubaya sehemu yoyote ile. Na ndio maana juu ya yote walikuwa na karibu. Mambo ya mahusiano huwa sometimes mengine hayavumiliki unaamua the best way ni kutoka. Eti ukae kisa urithi. Alijua jamaa ana hela ila wakaachana.
Kumuelewasha mpumbavu ni kazi kubwa sana anasema kwa kawaida mioyo yetu una tofauti kuna wenye kuvumilia lkn kunawasio na uvumilivu.Wangapi wameachana na hawajafa ebu acha uongo kwahiyo unataka useme Ivan hakuwa na demu