TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

We umejuaje yote hayo? Mmbea kama wadada wa saluni
 
Huyo ni baba mdogo tu wa Ivan,Ivan alishazika wazazi wote wawili,na BP ndio ugonjwa unaowaua kwenye ukoo wao
 
Mwenye Enzi Mungu awalinde watoto wake!
 
kuna kitu behind,maana kipindi hii zari yupo south mara ghafla ivan mgonjwa,mi nilijua hachomoki pale hospitali,sijasema kamroga ila tu inawezekana alimstress kinamna mpk huyu jamaa kupandisha presha.

kingine msg ya zari ku announce msiba ya kawaida saaana,yaani ni kama alijua,alitegemea,alitaka iwe hivyo.

sasa likija swala bandugu waingilie kati kusimamia mali mpk watoto wakue,tutamkuta zari kwenye vigodoro na mkwe kendrah.

Mpk mwisho Ivan alikua anatoa huduma zote kwa huyu mwanamke no matter what,diamond kapigwa lift sana tu.
kuna kipindi diamond alitoa kashfa kwa IVAN,JAMAA AKAPIGA CHINI HUDUMA ZOTE.
Zari alienda kuomba poo kiganda kwa jamaa arudishe moyo,kwamba huyu msaanii kaongea tu hakumlenga Ivan.
 

Labda pia namna ya ku control miili inaweza kusawjisha uwiano wa misukumo ya damu miilini!. Sijui, ninajaribu kusema tu kwa kuona mwili wa marehemu na unene wake kama inaweza pia kuchangia katika kumdhoofisha.

Nani ajuaye, kikubwa Mungu Aturehemu.
 
Kifo hakikwepeki.naona madogo wameula.
Wawatunzie mali zao.
 
Ndio watu wajifunze kuthamini walivyonavyo...alivyokua anamnyanyasa alijua hawez kuachwaa...mtt wa kimanyema akamuonjesha huba
 
Yule sio baba yake.
 

Kwa hiyo baada ya kuachana na Zari ndio akaanza kunenepeana na mwili kujaa mafuta na kutoka kitambi kilichojaza mafuta? Hiyo ni sayansi ya wapi?
 
Mkuu huyo Zari unaemtetea tayari wanagombania mali na wakwe zake huko, tatizo mnajifanya mnawajua watu kama mnakaa nao kumbe mnawaona kwenye social media.[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh duh.
 

Wakati mwingine amani ya moyo wako ni muhimu kuliko pesa. Zari hakuwa na amani kwa Ivan japokua pesa ilikuwepo. Aka bet kati ya pesa na furaha ya moyo kipi akichukue? Akachagua furaha na amani ya moyo. Tujifunze, pesa sio kila kitu katika maisha.
 
Wangapi wameachana na hawajafa ebu acha uongo kwahiyo unataka useme Ivan hakuwa na demu
Kumuelewasha mpumbavu ni kazi kubwa sana anasema kwa kawaida mioyo yetu una tofauti kuna wenye kuvumilia lkn kunawasio na uvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…