TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Yani mshiko wote ameshindwa kupata mtoto mzuri kuliko Zari

Hela siyo kila kitu mzee unaweza kuwa na dollar na ukashinda njaa hivi baada ya kupata pesa tunahitaji nini? Mimi sijui ndo maana nauliza kwa sababu najua badala ya kunijibu utaniliza tena hili swali
 
Yaan waliachana halafu hakukubali hali ya kuachana?? Bas ni maajab? Yaan wewe uachane na mkeo halafu useme sikubaliani na hali hyo ilihal mpka kaenda kutotoleshwa watto wawili na Mond bado huamin tu,,aisee utakua ni ujinga uliopitiliza,,km tunawasema kila siku wanawake ni dhaifu vip yy atakua zaid ya udhaifu,,

Alizaliwa na amekufa so nasi tutafuata,,ili ukamilishe uzaz uliozaliwa itakubidi ufe muda wko ukifika. R i p
 
Unataka kusema angekuwa na zari asingekufa?? Kwahyo kwa maoni yako wewe zari ana undugu na malaika Gabriel !!!

Let him rest in eternal peace ..
 
Huo muda uliotumia kuandika huo upuuzi ungeutumia kujamba afu urudi uendelee na mambo mengne
 
Kama haya ni kweli Basi kosa ni la Marehemu kupenda asipopendwa!

Zari alikuwa anataka kupigwa Mti sio kupigwa Dola!
 
Inawezekana ila Huyo Ivan..Kumbuka ndo aliyeanza kumwacha Zari akawa Na mdada Aitwae Maureen. Sasa siku jua waliishia wapi..ila kuhusu Yy za Zari japo walitengana walikuwa wakielewana..Mfano Ivan akiwa Na shughuli Zari atapost kama support. Na yote kwa jili ya Watoto.But kama msemaji alivyosema huenda kweli on one side note...Alijua nikimwonyeshea madem Zari ataumia but kumbe wanawake sometimes hata ukiwa Na Mali kiasi gani.Tukisema No!!! Huwa no kweli.Sema wanaume wengi hii hawalijui.Kuna kipindi pesa haiwi tena Na thamani moyo ukikinai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…