Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Watu wa madale mna tabu sana.Hivi kama ni Zari angelikuwa ametangulia mbele ya haki ulitegemea Ivan angeliandikaje kuhusu Zari?
Ungelikuja hapa kumuita mnafiki? una hakika Zari ndio chanzo cha kuachana na Ivan?
Mimi kwa uzoefu wangu wa watu kuwaona watu wenye pesa huwa ndio chanzo cha kuachana na wanawake wao...wengi huwa ni wanyanyasaji wanawake.....
Nafikiri ni vgumu kusema Zari ni chanzo ikiwa hakuna ushahidi wa kujua hilo...
[emoji23]Girls[emoji122] [emoji122] [emoji122]
tunawaambiaga kila siku nyanyasa sanaa mwanamke ila akija kusema no utakufa au kuchanganyikiwa.
Point,Yako mengi sana yakujifunza kila unapoona jambo likitokea.tumekua tukiijenga sana dunia yetu kwamajumba yakifahar nastarehe za kila aina ila hatujawahi kuijenga nyumba ambayo baada ya hii dunia kunamakazi huko tena yamilele.hapandipo mwanadamu anapohitajisana akili ya moyo zaid kuliko akili yakichwa.
Huyo Ivan nilikuwa simfahamu... ila leo nimeperuzi na kugundua alikuwa anakula maisha na kuwa pia na foundation ya kusaidia watu.. its like giving back to the society ....Ampumzike kwa amani.. maana bongo sijawahi sikia msanii yoyote ana foundation ya kusaidia watu zaidi ya bifu za kila leo na nyingi za kuuza magazeti na habari za mtandao.. najua wengi hawatamsahau... nyie wasanii wa bongo endeleeeni kuwa na wachumba na kuweka heshima bar na gesti... nasema bongo sio tanzania ni gaboni
Uko sahihi kabisa yaani hapo inakuwa piga nikupige... Mwenzako Akipost hammer na wewe pia unapost Hammer... Akinunua kisiwa lazma ulipe pia... Yaani hapo ni full wivu wa maendeleo mpaka mmoja asalimu amri [emoji4]Alitakiwa amove on na aoe kabisa, wallah leo angekuwa hai, kusema ukweli jinsi mond na zari walivyokuwa wanajianika lazima alikuwa anaumia tu.Sasa yeye yupo peke yake ,alitakiwa avute mke aweke ndani. Mimi nimejifunza kitu, mwenzako akikuacha na wewe tafuta mtu muwe public mahusiano yenu.