TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

R.I.P Ivan nimekaa nikafikiria wanangu watakua kwenye hali gani wakinipoteza au kupoteza baba yao, hakika ni maumivu yasiyo na mfano
 
Google jina lake utapata kila jibu la swali lako
RIP SSEMWANGA IVAN bt mwenye kujua historia yake hta kwa ufupi maana jamaa alikua na mchuzi hatari cjui alikua anafanya mishe gani hasa?
 
Alie kuwa Mzazi mwenzie Na Zari boss lady Afariki dunia

.chanzo cha kifo chake Ni Matatizo Ya moyo

R.I.P Ivan nimekaa nikafikiria wanangu watakua kwenye hali gani wakinipoteza au kupoteza baba yao, hakika ni maumivu yasiyo na mfano
Yanachoma kama pasi ata ukiwa na ela kiasi gani yaan swala la kufaa aise Mungu ndie ajuayee yaan watoto bADO WADOGO inauma sana
 
Katika msiba huu tuna Mengi ya kujifunza. Duniani Tunapita Pesa, Mali, Starehe Tunaviacha hapa hapa duniani. Binadamu yeyote mwenye akili timamu atengeneze akhera yake na kutengeneza akhera yako ni kufanya yanayo Mpendeza mungu na kuyaepuka kwa nguvu zote aliyo Yakataza Maisha ni Mafupi sana ndugu zangu Tutumie vzuri Neema Ya uhai Na Afya ambayo Bado tumepewa.
MUNGU amuweke anapo stahili. :innallilah wainaillah rajiuun.
 
Yanachoma kama pasi ata ukiwa na ela kiasi gani yaan swala la kufaa aise Mungu ndie ajuayee yaan watoto bADO WADOGO inauma sana
Ni kweli,ila hatuna jinsi Allah ampunguzie adhabu ya kabri, Amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…