TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

so kaziacha hizo pesa?
apumzike kwa amani huko alipo...
 
Leo tr 25/05/2017 amefaliki dunia Ivan the Don Mungu amlaze mahala pema peponi.



Sunday, 14 May 2017 habari hii ilichapishwa huko UG kua jamaa anauza nyumba yake pia,'


wadukuzi wanasema aliona kifo chake baada ya kazi aliyo kua anaifanya kwa miaka mingi kuanza kuntokea puani,

Kazi kubwa ya ivan ilikua ni kusafisha nyota za watu na kutibu watu kwa njia za asili katika shrine zake kadhaaa


Why Ivan Semwanga is selling his house


Why Ivan Semwanga is selling his house
A local real estate company is advertising Ivan Semwanga's Muyenga based mansion at a whooping $1.7 Million approximately UGX6.1 Billion.

The Rich Gang president has decided to deal off his property to do other things with that money, after all, Serena Hotel is his preferred place of residence since it comes with various benefits that he would otherwise not get at his home. No doubt, he is not broke, but the money reduced after the subsidy from government to his schools was stopped.

Ivan is always in the country for just a week or slightly more, so having a house of that magnitude wasn't making much sense to him now that he spends most of his time in SA monitoring his various school projects and other businesses.



'MUNYONYO POSH MANSION ON SALE'

"House for sale in Munyonyo at $1.7M, 6 bedrooms [all self contained], living room, Gym, bar terrace 60 decimals with a Mailo land title.."

The ad goes. Ivan's house is in Muyenga and the advertised one is in Munyonyo where Ivan constructed another posh house for Zari's mom.

One asked if that was Ivan's house, ''Not really," was the response he got from the real estate agent behind the 'House for Sale' post.



Then how come all the features of the house that is being sold and Ivan's are the same? or is it "Not Really" because Ivan has already sold it!

Could it be that these two houses, one in Muyenga and the other purportedly in Munyonyo are similar in every way ranging from the positioning of the TV dish to similar color of the compound chairs and tents?

If it's true that Zari's ex is selling the house, then, UGX6 Billion is the amount to part with. Some potential buyers have raised concerns that the house is over priced.

Just a few days back, he was busy doing what he does best, chopping money and this he does with a lot of swagg..
 
Tuisikitikie roho yake na si Mali au matendo yake, kila Mtu atahukumiwa na M/Mungu na si binaadam
 
Hata kama alikuwa apone kitendo cha Zari kumtembelea Hospital kilimstua Israel Mtoa roho aisee.
 
Sasa hapo kajitabiriaje!?!?
Wabongo acheni roho za marehemu zipumzike kwa amani.
Jamaa alikua na age ya miaka 39 na miezi kadhaa.
Kafiriki kwa kwa ugonjwa wa moyo!
Hata kama kifo ni lazima.
Him leaving at this age, nadhani lifestyle yake imechangia sana his early demise.
 
RIP the don king Ivan
The Don aliishi the wealth life but not the health life, pesa na lifestyle yake imemmaliza, vyakula alivyokula especially vya mafuta vimemmaliza na kutokufanya mazoezi...RIP prezdaa of rich gang
 
Shangaa mwenzangu.Kuna baadhi ya watu hawaishiwi maneno ya kero jamani. Hapo wanawaza mali tu hawawazi watoto aliowaacha.
Numbisa watu kama hawa hawakawii kujifanya walimkopesha marehemu, sasa MTU anataka kujua vyanzo vya pesa zake zimsaidie nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…