TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Na ndugu yetu,ajipime kama huyo kafanyiwa hivyo,vp yeye?.maana huyo alikua anapesa kuliko yeye,kama watoto huyo alikua nao wengi kuliko ndugu yetu,sasa ndugu yetu awe makin tu.
 
Mi binafsi sijawahi kujua chanzo cha kutengana kwao pamoja na maisha mazuri waliyonayo, ila shilawadu tayari washamuhukumu zari, je kama ye ndo aliachwa?
Mara nyingi wanawake ndiyo huwa waathirika wakubwa wa ndoa, hasa matajiri ndiyo watesaji wakubwa kwa wanawake wa ndoa, japo sijui chanzo cha kutengana kwao lkn kwa asilimia nyingi yawezekana mme ndiye chanzo lkn siwezi kuhukumu bila ushahidi najaribu kuongea kwa uzoefu mbaya niliyo nao.
 
Mwanamke aliyekuwa anateswa angekuwa vile alivyokuwa Zari....maana dai hata kovu hajakuta....Halafu mwanamme wa kukutesa unarudi kwake na mtoto wa mwanamme mwingune unakaa Hadi unapata nyumba ya kwenda na bado wewe na bwana wako mnamtukana kwenye social media eti nyumba ya kupanga....
 
Mbona nakuona una aki lza kijima sana kuliko hata sisi vikongwe?

Kwa hiyo wewe unataka hata kama watu wanashindana waendelee kukaa wote kwa kuwa wanaume tutakufa na kuwaachia majonzi?

Unafahamu kwamba kuachana kunaweza kuongeza ustawi katika maisha na malezi ya watoto kuliko mnavyowaua watoto kisaikolijia vile wanavyokua wakishughudia mnagombana na kudhalilishana kila sku?

Unaelewa kwamba umbali unaweza kuumba amani na ustarabu mzuri kwa maisha ya wahusika wote?

Kwa mtazamo wako wewe, unamaanisha watu wakiachana kwa tofauti katika upande mmoja basi mazuri yao wote yafe? Unaelewa kwamba mtu anaweza kuwa great man kwa ubunifu wa kibiashara lakini asiwe a good lover?
Unafahamu mtu anaweza kuwa handsome na mchapa kazi lakini akashindwa kukaa na mwanamke kwa ajli ya kutokujali ndugu, ubinafsi ama kiburi?

Unaweza kuelewa kwamba mtu anaweza kuwa na kila kitu lakini maumbile mkashindwana?

Unaweza kufikiria mtu anaweza kuwa great in all other things lakini akawa mshirikina na mwenziye asikubaliane naye?

Kwa hiyo unataka kwamba mkitofautishana kiasi cha kutokuvumiliana katika nyanja moja, basi yale mazuri ya mwenxiyo usiyaseme?

Kwa hiyo Zari angelkuwa naye mauti insingemfika? Au labda unataka Dai awe na mtu mwingine?

NINADHANI SI BUSARA KUMTUKANA ZARI ETI KAMSIFIA EX WAKE AS IF KUACHANA NI UADUI.
MBONA HUKUMKATAZA KWENDA KUMWUGUZA?
UNADHANI WANGELIKUWA NA UADUI KAMA UNAOUTAKA WEWE, NANI ANGERUHUSU ZARI KUKAA NAYE AKIWA KWENYE COMMA?

ETI UMALAYA!, WEWE UNAJUA NI KITU GANI KILIMFANYA ZARI WAKAACHANA HADI AKAKUTANA NA DIAMOND?

ACHENI KUINGILIA MAHUSIANO YA WATU. KAMA ULIVKUWA UNAJALI SANA,ULITAKIWA KUWASULUHISHA BADALA YA KUJA NA COMMENTS ZENYE CHUKI. MAPENZI HAYALAZIMISWHI, YAKIISHA YAMEISHA LAKINI HATA YAKIISHA HAKUNA MTU MBAYA AMA MZURI KILA ENEO. ZURI LINASEMWA NA BAYA LINASEMWA.

WMACHENI ZARI JAMANI. NAYE NI BINADAMU TENA ANA DAMU NA NYAMA KAMA WEWE.

Oooh kumbe na huku upo KIPAZASAUTIORIJNO huu mwandiko wako kabisaaaa ,
 
Ni hatari kumuhukumu mtu bila kumuhoji wacheni zari aje atupe ukweli kuliko kulumbana kusiko na kikomo
 
Ila Yule bwana alikuwa muungwana kwa kweli....Yaani mtu amekuchukulia ex wako, unamlelea mtot na anakuja Hadi kufanya shooting mjengoni kwako ...wala hajawahi hata kupost lugha chafu kuwatusi maskini ...mungu atamlipa hapo kwa huo ubinadam tu.....
 
(Tusi kubwa)unauhakika kama Zari ndio alikuwa sababu ya kuachana kwao?!(tusi kubwaa)unajua amevumilia miaka mingapi?![emoji17]!

Halafu Zari alikuja kuwa na diamond mwaka mmoja baada ya kuachana na Ivan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (tusi kubwa)
 
kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Umenisikitisha...kuona urithi ndio mpango mzima kwako!!!!
 
Umenisikitisha...kuona urithi ndio mpango mzima kwako!!!!
Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa wanawake uwa wanawaza kuwa mume ndiye atatangulia kufa leo nimeconfirm kuptia miss natafuta
 
Mkuu umetumia kiungo gani kuwaza,,,kwanza kwa umbeya na ukurupukaji wako zari hajazaa na ivan watoto5 kazaa naye watoto 3 tuuu ,,,usihukumu mtu mkuu na ww utahukumiwa kwa kipimo hicho,,povu lisikutoke kisa mali hukutafuta nao walitafuta wakiwa2 mkuu huna hata undugu,,kuwa na ubinadamu kidogo hata kidogo
 
Back
Top Bottom