Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Binafsi nilikua na muheshimu pamoja na watanzania wengi ninao wafahamu ila kwa hili ni kiujua ukweli heshima yangu kwake itaishia leo rasmiKwamba Millard anaheshimika nchini Tanzania ni uongo , hayo mengine siyajui
Ulipotea mno !Binafsi nilikua na muheshimu pamoja na watanzania wengi ninao wafahamu ila kwa hili ni kiujua ukweli heshima yangu kwake itaishia leo rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nini na wewe unajipa KAZI ya KUFANYA kwenye uzi wa asie kuwa na KAZI ya KUFANYA ???
Hapa issue sio kumfuatafuata marehem katika safari yake ya milele laa hasha hapa issue nikupewa habari za uongo juu ya kinajiri nchini kumbuka kupata habari sahihi ni haki yetu/ yangu kikatiba na wala sio usumbufu kwa marehemTumuache marehemu apumzike kwa amani. Maana mwisho wa siku, kifo ni kifo tu. Yeye ametangulia, na sisi tutafuata. Hakuna mwanadamu atakaye kiepuka kifo. Huu ndiyo ukweli mchungu.
Utalionaje kosa lake na wewe sasa hivi umekaa hapo Falcon Cafe unasubiria kuitwa ukapokee posho yako ya buku 7Siomi kosa la Ayo kwani ndivyo wanafamilia walivyoeleza!
Lakini huyu mzee si ndiye aliyetunyima Wagombea binafsi.... Independent candidates!!? RIP Jaji.Ulitaka aseme amefariki kutokana na matatizo ya upumuaji? Huyu ni Mzee wetu tunamheshimu, tumwache apumzike kwa amani na azikwe kwa heshima anayostahili. Bwana alitoa ma Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
Kama kapata habar ikiwa hivyo yeye afanye nnKosa lake kuudanganya umma wa watanzania wanao amino habari zake ... ili tuone kakorona no kaugonjwa ambako hakasumbui hali yakua kanapukutisha hazina za taifa kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka aseme amefariki kutokana na matatizo ya upumuaji? Huyu ni Mzee wetu tunamheshimu, tumwache apumzike kwa amani na azikwe kwa heshima anayostahili. Bwana alitoa ma Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
Hapana Mkuu, ila vyanzo vya taarifa vinasema aliugua muda mrefu, na kwa hawa wazee wetu ni kweli wana magonjwa mengi ya uzeeni, kisukari, pressure n.k si unajua umri ndio umeenda viungo vimechoka.Kwani kufa kwa korona ni aibu?
Hahahaaaa......... Umeshaingiza siasa bwashee!Utalionaje kosa lake na wewe sasa hivi umekaa hapo Falcon Cafe unasubiria kuitwa ukapokee posho yako ya buku 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo piaMkuu achana na wapuuzi wachumia tumbo wakina millad.Habari za uhakika na ukweli ambazo zimetumwa na mashuhuda na familia zipo kwa Mange Kimambi.Alitoa Namba na wana familia wanamtumia ili kuusema ukweli unaofichwa.Follow page yake utaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa lake kuudanganya umma wa Watanzania wanao amino habari zake ... ili tuone kakorona no kaugonjwa ambako hakasumbui hali yakua kanapukutisha hazina za taifa kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!Ila hili janga la Sasa limekuwa ka kumsukuma mlevi vile hasa kwa wagonjwa waliogua mda mrefu na wenye bp, sijui visukari, ndo Mana yatupasa kuwa makini ukiwa na watu wa hivo kuwakinga kwa sababu ya immunity, mie nilipo staki hata kukutana na ndugu watu wazima maana kwa trend ya huu ugonjwa you never know. Mnazareth,
Sent using Jamii Forums mobile app