TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Kila siku vifo vipya ee Mwenyezi Mungu Tuhurumie wana Wako, tunaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Tujiangalieee, tuko pabaya leo kuliko janaaa
Sikio la kufa halisikii dawaaa, tuko kwa twitter tunajibizanaaa.

Pumzika kwa amani
 
RIP Augustino Ramadhani.

Tutakukumbuka ukicheza basket ball zamani pale Chang’ombe Teachers College, sasa DUCE. Ulikuwa Captain wa JWTZ wakati huo.

Na jinsi ukipiga kinanda kanisani St Alban.

Ulikuwa mpole mnyenyekevu na hukutumia cheo chako kwa faida yako au kunyanyasa wengine.

Mungu awe nawe.
 
"Retired Chief Justice AUGUSTINO RAMADHANI of TANZANIA has passed on at AGA KHAN Hospital Dar es Salaam a few minutes ago. I will keep you updated" Ibrahim H. JUMA
Chief Justice TANZANIA

Wakati huo huo kuna hii taarifa tena ya msiba wa Bernard Lowassa

"Kwa masikitiko makubwa naomba kutoa taarifa za msiba wa mwenzetu ndugu *Benard Lowassa* aliepoteza maisha ktk hosp ya Agha Khan jijini Dar es Salaam jioni hii.

Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mwanafamilia wake.

Mpaka sasa taarifa kamili juu ya kilichopelekea kifo chake hazithibitika.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!!

Wenu"

Yonas

Na taarifa zingine kutoka vyanzo mbalimbali ni kuwa Wakili Gaudiose Ishengoma na Jaji mstaafu Musa Kwikima na wameaga dunia katika hospitali ya Agha Khan.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nilipita nikizani ni yule wa ACT Wazalendo kumbe msiba mwingine!!! Jamani sio corona kweli mbona mfululizo sana? Ok ALLAH ndio mpangaji wa kila jambo na sisi sote ni wake kurejea hatuna budi
 
Back
Top Bottom