TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Jamaa alikuwa ni Brigedia Jenerali, Jaji na Pastor pia!!
... Huyu na Brigedia Generali Profesa Yadon Kohi (medical doctor and former director of COSTECH) ni kati ya watanzania ninaowa-admire sana!

Brigedia Jenerali, Jaji na Pastor Agustoni Ramadhan, pumzika kwa amani japo kuna kipindi ulizingua kesi ya mgombea binafsi ya Mch. Mtikila (rip)!
 
Nali, Nasisitiza kama huna kazi ambayo itakulazima kufika mjini usitoke, ni vyema ukabaki nyumbani na siku ipite tu...

Kwa wale ambao wanafanya kazi maofisini ni vyema wakabeba vyakula na maji kabisa kwa ajili ya kupata chakula cha mchana kuepuka kutoka nje na kwenda kula kwenye grocery...

Mwisho Dar si sehemu salama tena chukua hatua stahiki za afya kuepuka kupata Corona...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazareth,
Mkuu wakati mwingine tunatakiwa kuelewa chanzo cha yote haya, serikali imekataa kutangaza vifo vinavyotokana na corona na wapendwa wetu wanaondoka kimya kimya.

Kwa hiyo si ajabu kila kifo kikaambatanishwa na corona.

Jana nilisoma taarifa za mkuu wa wilaya Mtwara (kitu kama hicho), wanasema alikuwa na changamoto ya upumuaji, is this sense?
 
Aisee hivi vifo vya mwezi huu ni hatari
IMG-20200428-WA0002.jpg
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi hawa tunaopata taarifa zao na wale wote wanaokataliwa hospital kwasababu mbalimbali Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwenye kutimiza kusudi la kuwepo Duniani, hureje Kwa yeye aliyemleta kutimiza kusudi Hilo

Tuliumbwa Kwa udongo na udongoni tutarejea,. RIP Jaji Agustino

Ama hakika, Duniani tunapita, Poleni Sana wafiwa
 
Rip mzee wetu kwani na yeye atazikwa na watu wasiozidi kumi? Corona tuache sasa utamaduni gani unatuletea huu watanzania tumezoea kuzikana.
 
Back
Top Bottom