TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

corona tuhurumie jamani tanzia Kuanzia juzi Jana na Leo hatareeeeeeee Sana
 
Siyo pastor,askofu wa catolic church Kama sikosei
Hapana padri wa anglican mkunazini zanzibar alipokuwa jaji tuliimba nae kwaya st alban posta na wote tukiwa wacheza kinanda
 
Apumzike panapo stahili Mzee
AUGUSTINO STEPHEN LAWRANCE RAMADHANI.
 
TANZIA :

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

"Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu."@judiciarytz
#VOBUpdates Voice of Bongo on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani mbona mnatangaza vifo tu toka juzi ???
 
RIP Judge!

Sema dah, safari hii naona majina yanashindana tu kung'oka!
 
Back
Top Bottom