TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Rubawa,
Sasa tunaanza kupukutika kwa uzembe wa serikali! Terrible. Na Wakili Gaudiozi Ishengoma amekufa! Angalia vifo tangu jana!
 
TYK

Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.

Apumzike kwa amani.
Haya matatizo ya upumuaji yatatumaliza. Mungu ampe pumziko la milele
 
Mungu atusaidie
 

Attachments

  • IMG-20200428-WA0014.jpg
    IMG-20200428-WA0014.jpg
    51.7 KB · Views: 1
Mheshimiwa Rais wangu Mpendwa, na Kipenzi cha Wengi Tanzania na Duniani kwa ujumla... hakika niwie radhi manake na mimi nilikomaa kishenzi, eti #TokaChato... aaaaaaaaaaargh!

Mambo yenyewe kama ndo haya, we endelea tu baba kujifungia huko huko manake huyu Azrael kama simuelewi elewi hivi!! Mbona dizaini kama kuna watu anawalia timing, na akikuta channel hazisomi, ndo pale anakimbilia Aga Khan, kwa hasira anafyatua yeyote anayepita jirani yake!

Usirudi mjini baba, manake kuna wengine hapa JF eti walikuwa wanakuhesabia siku, na kwamba eti leo ndo umeshamaliza siku 28, na kwamba eti kwa mujibu wa sheria za utumishi, likizo inayozidi siku 28 ni likizo ya uzazi!!

Potelea mbali, we waambie ndiyo, una likizo ya uzazi... kwani ndo utazaa kweli bhana!!
 
Jina lake linatakiwa kuandikwa hivi Reverend Pianist Advocate Retired Chief justice Brigadier General Augustine Ramadhani

Nani atakuwa anapiga kinanda pale kanisani mkunazini maana yeye ndie alikuwa mtaalamu Wa kukipiga
 
Back
Top Bottom