Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
harudi huyoooooooKwa hali hii tutaendelea kujibanza Chato,harudi mtu mjini!
Haya matatizo ya upumuaji yatatumaliza. Mungu ampe pumziko la mileleTYK
Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.
Apumzike kwa amani.
Amen AmenKuna watu unaweza tabiri atakuwa jehanam au peponi but for real this man, atakuwa peponi.
Rest in Peace, Humble Man.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba mmejaa wajinga na wapumbavu kama wewe,kwahiyo mama rwakatare alifia mloganzila?acheni kufanya siasa kwenye maisha ya watanzaniaBavicha bhana...Kwa hiyo Aghakan wanalaza wagonjwa wa Korona?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Inaumizaaaaa sana naumia mno!Hii trend ya misiba bila shaka itaendelea kwa muda usiojulikana.
Poleni wafiwa.