MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
corona tuhurumie jamani tanzia Kuanzia juzi Jana na Leo hatareeeeeeee Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
noma saaana
Huyu Ishengoma sio yule wa hapa JF?TYK
Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.
Apumzike kwa amani.
Bavicha bhana...Kwa hiyo Aghakan wanalaza wagonjwa wa Korona?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hajafa kwa Corona tuache kukariri..
Jaji alikuwa na tatizo la Prostate na ameumwa kwa muda mrefu takribani miaka miwili sasa
Tusipotoshe habari tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana padri wa anglican mkunazini zanzibar alipokuwa jaji tuliimba nae kwaya st alban posta na wote tukiwa wacheza kinandaSiyo pastor,askofu wa catolic church Kama sikosei
Ni kweli umekoseaSiyo pastor,askofu wa catolic church Kama sikosei
Alikuwa ni mwamba
Kwamba angekuwa rais saiz tungekuwa na msiba wa rais?Wakati huo marehemu nae alikuwa mgombea na alikuwa katika nafasi nzuri ya kutoboa
Agha khan watatu huyo toka siku ianzeTYK
Kwa wale tunaomfahamu wakili Gaudiose Ishengoma, amelala usingizi wa milele. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Agha Khan, Dsm alikolazwa kwa tatizo la upumuaji.
Apumzike kwa amani.