Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ni kweli kabisa. Mungu uko Wapi Baba??Eti nasikia pia mdogo wa muheshimiwa Luwasa naye kafia hapohapo Agakhan,
Mungu atuongoze,
Only the dead have seen the end of the war.
Sent using Jamii Forums mobile app
His no more so it doesn’t matter!Jina lake linatakiwa kuandikwa hivi Reverend pianist Retired Chief justice Brigadier General Augustine Ramadhani
Nani atakuwa anapiga kinanda pale kanisani mkunazini maana yeye ndie alikuwa mtaalamu Wa kukipiga
It matters a lot that is why his name is mentionedHis no more so it doesn’t matter!
Na mwekania ya kugombea Urais CCMJamaa alikuwa ni Brigedia Jenerali, Jaji na Pastor pia!!
Unachekesha sikiliza vipindi vya matangazo ya vifo radio one huwa in wachaga tu wanatangazwa !!! Ukidikiliza waweza Dhabi nchi hii wanaokufa no wachaga tu kumbe wengine huwa hawapelrki matangazo ya vifo radio oneMbona wakati huu kuna mfululizo wa vifo vya watu wazito serikalini kuna nini kinaendelea,Mara DC Mara nani
Alikuwa hana pua?Meneja wa CRDB Bank tawi la Kibondo amefariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua.
𝙷𝙰𝙺𝚄𝙽𝙰 𝚅𝙸𝙵𝙾 𝚅𝚈𝙰 𝚉𝙰𝙼𝙰𝙽𝙸. 𝙺𝙸𝙻𝙰 𝚄𝙲𝙷𝙰𝙾 𝙺𝙸𝙵𝙾 𝙷𝚄𝚆𝙰 𝙺𝙸𝙿𝚈𝙰 𝙺𝚆𝙰 𝙺𝙸𝚄𝙼𝙱𝙴 𝙷𝙰𝙸!Kila siku vifo vipya ee Mwenyezi Mungu Tuhurumie wana Wako, tunaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
Na inaweza kuwa worse kuliko sasa.Hii trend ya misiba bila shaka itaendelea kwa muda usiojulikana.
Poleni wafiwa.
Vifo vya corona vipo 10 tu... Wewe endelea kuamini hivoMbona wakati huu kuna mfululizo wa vifo vya watu wazito serikalini kuna nini kinaendelea,Mara DC Mara nani
CORONA wenye matatiz yaki afya inawapeleka fasta unataka kusema ukiumwa PROSTATE huwez pata cooona??Hajafa kwa Corona tuache kukariri..
Jaji alikuwa na tatizo la Prostate na ameumwa kwa muda mrefu takribani miaka miwili sasa
Tusipotoshe habari tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sasa tuwaombe WHO watuletee wataalamu wachunguze hili gonjwa jipya la CHANGAMOTO ZA UPUMUAJI maana ni jipya na lipo hapa Tanzania tuu.Meneja wa CRDB Bank tawi la Kibondo amefariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua. Mungu ampumzishe kwa amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wake Lowassa si mtoto wake, Salam nadhani zinamfikia Bwana yule maana ubishi wake umetuponza😪😪😪Kooona hii jamani, nasikia na mtoto wa MAUMVI anaitwa BEN also he has gone too. [emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mwanzo tu bwa Shehe, haka kamgeni tulikakataa muda tu lakini wenye nguvu wakatuona sisi hamnazo sasa acha kitufagie tu hakuna namnaRIP mzee
yaani tangu jana RIPU zimekuwa nyingi kweli hapa JF