TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Attachments

  • IMG-20200428-WA0014.jpg
    IMG-20200428-WA0014.jpg
    51.7 KB · Views: 1
Jina lake linatakiwa kuandikwa hivi Reverend pianist Retired Chief justice Brigadier General Augustine Ramadhani

Nani atakuwa anapiga kinanda pale kanisani mkunazini maana yeye ndie alikuwa mtaalamu Wa kukipiga
His no more so it doesn’t matter!
 
Chige,
Jamaa atakujaje mkuu wakati Corona imekuja kutusukuma kama walevi? Yani inajipitia tu kama una afya dhaifu ona jaji kilivyoanza
IMG_20200428_101408.jpg
 
Mbona wakati huu kuna mfululizo wa vifo vya watu wazito serikalini kuna nini kinaendelea,Mara DC Mara nani
Unachekesha sikiliza vipindi vya matangazo ya vifo radio one huwa in wachaga tu wanatangazwa !!! Ukidikiliza waweza Dhabi nchi hii wanaokufa no wachaga tu kumbe wengine huwa hawapelrki matangazo ya vifo radio one
 
Kila siku vifo vipya ee Mwenyezi Mungu Tuhurumie wana Wako, tunaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa
𝙷𝙰𝙺𝚄𝙽𝙰 𝚅𝙸𝙵𝙾 𝚅𝚈𝙰 𝚉𝙰𝙼𝙰𝙽𝙸. 𝙺𝙸𝙻𝙰 𝚄𝙲𝙷𝙰𝙾 𝙺𝙸𝙵𝙾 𝙷𝚄𝚆𝙰 𝙺𝙸𝙿𝚈𝙰 𝙺𝚆𝙰 𝙺𝙸𝚄𝙼𝙱𝙴 𝙷𝙰𝙸!

𝙿𝚄𝙼𝚉𝙸𝙺𝙰 𝙺𝚆𝙰 𝙰𝙼𝙰𝙽𝙸 𝙹𝙰𝙹𝙸 𝙰𝙶𝙾𝚂𝚃𝙸𝙽𝙾 𝚁𝙰𝙼𝙰𝙳𝙷𝙰𝙽𝙸
 
Huyu Mtoto Mkorofi wa Kichina kutoka Mji wa Wuhan nchini China aitwae Koovidae Chechen Lee Yung ni HATARI na anatutesa.
 
Meneja wa CRDB Bank tawi la Kibondo amefariki kwa matatizo ya kushindwa kupumua. Mungu ampumzishe kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sasa tuwaombe WHO watuletee wataalamu wachunguze hili gonjwa jipya la CHANGAMOTO ZA UPUMUAJI maana ni jipya na lipo hapa Tanzania tuu.

Kwa mujibu wa Rais na Ummy kuna kila dalili Corona tumeidhibiti kwa kujifukiza ndio maana hakuna case mpya ila za hilo gonjwa jipya.
 
Dah!. Wiki hii, taarifa za Tanzia zimekuwa nyingi mno, na baya zaidi tukisikia watazikwa na Serekali na mazishi kushuhudiwa na watu wasiozidi kumi sisi wengine tunaongeza idadi ya vifo kule kwenye takwimu za janga.
 
RIP mzee
yaani tangu jana RIPU zimekuwa nyingi kweli hapa JF
Huu ni mwanzo tu bwa Shehe, haka kamgeni tulikakataa muda tu lakini wenye nguvu wakatuona sisi hamnazo sasa acha kitufagie tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom