TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Huu mlolongo wa vyeo bado sijauelewa.
From brigedia to jaji mkuu to mchungaji.


Mwenye kunielewasha nitashukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
... nini hujaelewa Mkuu? Alikuwa mwanajeshi, msomi wa sheria, na muumini wa Kanisa Anglican. Baadaye akaajiriwa na mahakama alikopanda vyeo hadi kufikia ngazi ya Jaji Mkuu. Kanisani nako hakubweteka, alijiongeza akasomea kozi mbalimbali hadi kufikia hatua ya uchungaji na pia mpiga piano mahiri kanisani.

Huyu hakubweteka na nafasi aliyokuwa nayo; hakuishia kwenye vilabu vya pombe na mabaa enzi akiwa mwanajeshi wa cheo cha chini kama wengi wao walivyo! Wakishapata u-koplo basi ni ulevi na umalaya kwa kwenda mbele hakuna akili nyingine hadi wanastaafu, kutimuliwa kazi, au kuondolewa na Ukimwi.

Rev. Brigedia General Chief Justice Agustino Ramadhani alikuwa wa tofauti.
 
Chige, Na hana mpango wa kurudi leo ama kesho, huwenda akosogeza likizo hadi kati ya juni hadi julai na hapa itategemea upepo wa Corona katika majiji ya Dar es salaam na Dodoma...

Hivyo niwaase wana Jamii forum mjitahidi kulinda familia zenu dhidi ya dubwana hili, corona ipo na inaua...

Hivyo fuata hatua muhimu zote za afya kujilinda na Corona...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe ni Mjinga! Mtu huwa anasemwa amefariki, wanaokufa ni wanyama!
... of course "fariki" is reserved in honor of human beings but it is a subset of "kufa". Yeye kaamua kutumia superset. Ni sawa na kujifungua na kuzaa.
 
Back
Top Bottom