L Lindongo Member Joined Apr 9, 2012 Posts 83 Reaction score 16 Sep 6, 2012 #221 Michelle said: Pole sana Kaka Kiiza, Mungu akupe faraja na nguvu katika wakati huu mgumu...! Click to expand... kila jambo linalotokea ni makusudi maalum ya MUNGU, hivyo mshukuru mungu kwa kila jambo maanA yeye ni muweza wa yote. APUMZIKE KWA AMANI AMINA
Michelle said: Pole sana Kaka Kiiza, Mungu akupe faraja na nguvu katika wakati huu mgumu...! Click to expand... kila jambo linalotokea ni makusudi maalum ya MUNGU, hivyo mshukuru mungu kwa kila jambo maanA yeye ni muweza wa yote. APUMZIKE KWA AMANI AMINA
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,424 Reaction score 11,320 Sep 6, 2012 #222 Pole kakiiza
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,416 Sep 7, 2012 #223 Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. Amina.
Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. Amina.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Sep 7, 2012 #224 Pole sana Kaka Kiiza.RIP Mama Kiiza.
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,849 Reaction score 2,132 Sep 7, 2012 #225 KakaKiiza Mungu akutie nguvu na akufarije ktk msiba huu mzito.pole sana
molely molly JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 317 Reaction score 30 Sep 7, 2012 #226 pole sana kakamungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu!
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Sep 7, 2012 #227 Pole kwa yote aliekupa ndiye aliyekunyang'anya muombe akupe tena japo nivigumu kusahau ila shika neno!
Pole kwa yote aliekupa ndiye aliyekunyang'anya muombe akupe tena japo nivigumu kusahau ila shika neno!
W winner forever JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,094 Reaction score 269 Sep 7, 2012 #228 Pole kamanda Kiiza
cheupe sr Senior Member Joined Aug 18, 2012 Posts 102 Reaction score 34 Sep 7, 2012 #229 Pole sana kaka.. bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.. Mungu akutie nguvu, akupe faraja na matumaini ya kuendelea mbele.
Pole sana kaka.. bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.. Mungu akutie nguvu, akupe faraja na matumaini ya kuendelea mbele.
Kbd JF-Expert Member Joined Oct 9, 2009 Posts 1,260 Reaction score 448 Sep 7, 2012 #230 Pole sana kaka.....Mungu aendelee kukushika kwa mkono wake wenye nguvu na kukufariji. Pole kwa familia yote.
Pole sana kaka.....Mungu aendelee kukushika kwa mkono wake wenye nguvu na kukufariji. Pole kwa familia yote.
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,803 Sep 8, 2012 #231 Pole sana Kakakiiza!
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Sep 9, 2012 #232 Pole mkuu kwa msiba.
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Sep 9, 2012 #233 kwa mungu sote ni marejeo! pole sana
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Sep 9, 2012 #234 Bwana alitoa, bwana ametwaa. Mapenzi yake yatimizwe!"
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Sep 11, 2012 #235 Pole sana brother. Mungu akupe subra.
Zorrander JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 438 Reaction score 233 Sep 11, 2012 #236 Poleni sana, Mungu awape nguvu wote mliofikwa na msiba huu