Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Pole sana Kaka Kiiza, Mungu akupe faraja na nguvu katika wakati huu mgumu...!
kila jambo linalotokea ni makusudi maalum ya MUNGU, hivyo mshukuru mungu kwa kila jambo maanA yeye ni muweza wa yote. APUMZIKE KWA AMANI AMINA
 
Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. Amina.
 
KakaKiiza Mungu akutie nguvu na akufarije ktk msiba huu mzito.pole sana
 
Pole kwa yote aliekupa ndiye aliyekunyang'anya muombe akupe tena japo nivigumu kusahau ila shika neno!
 
Pole sana kaka.. bwana alitoa na bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.. Mungu akutie nguvu, akupe faraja na matumaini ya kuendelea mbele.
 
Pole sana kaka.....Mungu aendelee kukushika kwa mkono wake wenye nguvu na kukufariji. Pole kwa familia yote.
 
Bwana alitoa, bwana ametwaa.
Mapenzi yake yatimizwe!"
 
Back
Top Bottom