Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie mmnaoandika RIP, mnaijuwa maana yake? Pateni darsa dogo:
RIP ni kumtakia apumzishwe kwenye amani. Cha kushangaza! Kwanini hamuitaki hiyo amani mkiwa hai?
Peace = Salaam = Islam.
Ingieni kwenye amani na jisalimisheni kwa mola wenu mkiwa hai, si muombeane kuingia kwenye Uislam mkifa.
Alazwe popote anapostahili. Poleni wafiwa, poleni wana michezo, poleni Yanga.
Umeiunga supu [emoji85] [emoji87]Hivi nyie mmnaoandika RIP, mnaijuwa maana yake? Pateni darsa dogo:
RIP ni kumtakia apumzishwe kwenye amani. Cha kushangaza! Kwanini hamuitaki hiyo amani mkiwa hai?
Peace = Salaam = Islam.
Ingieni kwenye amani na jisalimisheni kwa mola wenu mkiwa hai, si muombeane kuingia kwenye Uislam mkifa.
Alazwe popote anapostahili. Poleni wafiwa, poleni wana michezo, poleni Yanga.
Rainaaa mkubwa weweHivi nyie mmnaoandika RIP, mnaijuwa maana yake? Pateni darsa dogo:
RIP ni kumtakia apumzishwe kwenye amani. Cha kushangaza! Kwanini hamuitaki hiyo amani mkiwa hai?
Peace = Salaam = Islam.
Ingieni kwenye amani na jisalimisheni kwa mola wenu mkiwa hai, si muombeane kuingia kwenye Uislam mkifa.
Alazwe popote anapostahili. Poleni wafiwa, poleni wana michezo, poleni Yanga.
Watu wa Tukuyu sijui wakoje, mgonjwa unampeleka Makandana?Habari wanamichezo,
Mchezaji mstaafu wa Klabu ya Yanga, Godfrey Bonny amefariki dunia baada ya kuugua na kulazwa katika hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
View attachment 471297
Pumzika kwa amani......
Sawa.Hivi nyie mmnaoandika RIP, mnaijuwa maana yake? Pateni darsa dogo: