Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
R.I.P TAITA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanamichezo,
Mchezaji mstaafu wa Klabu ya Yanga, Godfrey Bonny amefariki dunia baada ya kuugua na kulazwa katika hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
View attachment 471297
Pumzika kwa amani......
Kafir wa Mwendokasi wewe. Unaacha maana aliyokupa Muhammad aunaanza kuokoteza kwenye kamusi ili kupata uwezo wa kusongesha uwongo wako.
Hamtaachwa mnene uwongo hapa mtaumbuliwa Tu
faiza foxy wew mtata sana bibi yanguAlazwe popote anapostahili. Poleni wafiwa, poleni wana michezo, poleni Yanga.
Huyu si Taita.R.I.P TAITA
Hata mimi niliona hilo tangazo akiomba msaada!,hizi club zetu hovyo sana..Mungu amlaze pema jamaa,nilisoma sehemu kwamba alikuwa anahitaji msaada wa matibabu sijui aliupata huo msaada kutoka kwa club yake.?
Ataupataje ndugu yangu mwenyekiti anahaika na yake sembe,sembe ishakuwa noma.Mungu amlaze pema jamaa,nilisoma sehemu kwamba alikuwa anahitaji msaada wa matibabu sijui aliupata huo msaada kutoka kwa club yake.?