TANZIA: Kiungo wa zamani mahiri wa Dar Young Africa, Godfrey Bonny afariki dunia

apumzike kwa amani,namkumbuka vizuri mechi moja kati ya Tanzania Prisons na Police Dodoma uwanja waJamhuri Dodoma Alicheza vizuri sana na kumiliki sehemu ya kiungo
 


duh teh teh, anyway tumekusikia
 
Pole Yanga, family na wapenzi wote .
Tuna wakati mgumu Mwenyekiti na sasa G Bonny. (R I P)
 
Umeiunga supu [emoji85] [emoji87]
 
Rainaaa mkubwa wewe
Islam = total submission.
Word Islam has nothing to do with the state of "peace"
Shetani ndiye baba wa Uwongo na waongo ni watoto wa shetani.
 
Nyie Yanga Mungu anawaona,, mdogo wetu kaanza kuugua huku Tukuyu nyie mmeuchuna kimya tu hadi umauti unampata,,

Haya bhana ,,KYALA IKUBABONA UMWE MWE BHA YANGA. Mungu Ailaze mahali pema peponi Roho yake .
 
Sawa.
 
Mungu pekee ndio anaejua wapi atamlaza mja wake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…