Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Hotboys!!!? Ndo nini mkuu?RIP ndugu yangu Mwandanje, toka enzi za hotboys pale Tukuyu mjini mpaka Yanga ulikuwa na kipaji cha ukweli sana. utabaki mioyoni mwetu.
team ya mpira ilikua zamani. kabla haya mambo yenu hajaanzaHotboys!!!? Ndo nini mkuu?
Mambo yetu yepi?team ya mpira ilikua zamani. kabla haya mambo yenu hajaanza
siyajui kwani vipi mbona maswali mengiMambo yetu yepi?
Mi mdau wa pale sijawahi sikia timu inaitwa hotboys, sana sana ilikiwepo homeboys. Ndo maana nkauliza. Then ukasema "kabla hajaanza mambo yenu" ndo nikataka tu kuyajua.siyajui kwani vipi mbona maswali mengi
ok home boys ilikua team ya wakubwa bagamoyo. hizi zilikua team za watoto kati ya 94 na 95.Mi mdau wa pale sijawahi sikia timu inaitwa hotboys, sana sana ilikiwepo homeboys. Ndo maana nkauliza. Then ukasema "kabla hajaanza mambo yenu" ndo nikataka tu kuyajua.
Okok home boys ilikua team ya wakubwa bagamoyo. hizi zilikua team za watoto kati ya 94 na 95.