TANZIA: Kocha wa zamani wa Simba James Siang'a afariki Dunia

TANZIA: Kocha wa zamani wa Simba James Siang'a afariki Dunia

R.I.P SIANG'A,Kocha wangu bora kabisa kuwai kutokea mitaa ya msimbazi
 
Rip mwalimu....ila nyie mikia tunaomba rambirambi zifike
 
Taarifa niliyosoma kutoka Mwanaspoti inasema kocha wa zamani wa simba Mzee James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10/9/2016.

Huyu ndio kocha alifundisha simba kwa mafanikio makubwa


R.I.P Kocha Wetu
Apumzike kwa amani siku zake za mwisho zilikuwa za mateso na dhiki kuu
 
Back
Top Bottom