boroyangll
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 223
- 104
R.I.P SIANG'A,Kocha wangu bora kabisa kuwai kutokea mitaa ya msimbazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amani siku zake za mwisho zilikuwa za mateso na dhiki kuuTaarifa niliyosoma kutoka Mwanaspoti inasema kocha wa zamani wa simba Mzee James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10/9/2016.
Huyu ndio kocha alifundisha simba kwa mafanikio makubwa
R.I.P Kocha Wetu