Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

@Arushaone, Chocs, kimo mchango, MTAZAMO, Bishanga, Mbuzi Mzee, Aine, omujubi, @gysonwin, Dark City, minda, Baba V, snowhite, Asprin, Zogwale, Mzizi Mkavu, Bujibuji, usiniguse, Inkoskaz, TheDealer, saudari, Mamdenyi, mathematics, HYGEIA, ndetichia, nanjilinji, SURUMA, chardams, papaa2015, @hushinyo, Mwananhropolojia, JtheTATA, kamtu33, Mr Rocky, YNNAH, lachicaguapa, Rutashobora, Rich woman, REMSA, Godwishes, Lady doctor, arabera, Rweye, Rutashubanyuma KOKUTONA na wana JF kwa ujumla ambao sijawataja kwa bahati mbaya au nimewapa like tu.

Nawashukuru sana kwa kunipatia faraja katika kipindi hiki kigumu. ahsanteni sana.
 

Tuko pamoja mpenzi,

Mungu aendelee kukupa moyo wa uvumilivu na subira, wakati tukiendelea kumuombea aendelee kupumzika kwa amani.

Amina.
 

Pamoja sana kyanaKyoMuhaya! pole sana! maisha ni kuishi na kufa, wala usijali sana bibie!

OMBI MAALUM:
Sasa baada ya Mwenyenzi Mungu kuchukua kiumbe chake alichokileta yeye mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe, basi nakuomba ubadilishea avatar yako na kuweka avatar ya furaha, amani, upendo, faraja, na matumaini kama ishara ya kumwomba na kumshukuru Mwenyezi Mungu Muumba wetu!

Natanguliza shukrani!
Ahsante!
 
Last edited by a moderator:

please! kyanaKyoMuhaya, yani nilikuwa sijaiona hii avatar, nimetoka chozi haswa ukizingatia pia nami nilipata msiba huu na bado nina uchungu sana nikikumbuka.....please Kyana.
Asante TheDealer kwa angalizo!
 
Last edited by a moderator:

Tulihamo kyoma! Omukama akuweamani.
 

Ahsante nitafanya hivyo.
 
@Arushaone, Chocs, kimo mchango, MTAZAMO, Bishanga, Mbuzi Mzee, Aine, omujubi, @gysonwin, Dark City, minda, Baba V, snowhite, Asprin, Zogwale, Mzizi Mkavu, Bujibuji, usiniguse, Inkoskaz, TheDealer, saudari, Mamdenyi, mathematics, HYGEIA, ndetichia, nanjilinji, SURUMA, chardams, papaa2015, @hushinyo, Mwananhropolojia, JtheTATA, kamtu33, Mr Rocky, YNNAH, lachicaguapa, Rutashobora, Rich woman, REMSA, Godwishes, Lady doctor, arabera, Rweye, RutashubanyumaKOKUTONA:
Wapendwa kaburi ni kitu kibaya hata ulipambe vipi!
Nimeona UTUKUFU wake,
Dad naomba upewe pumziko la Amani!



​
 
Arushaone, Chocs, kimo mchango, MTAZAMO, Bishanga, Mbuzi Mzee, Aine, omujubi, @gysonwin, Dark City, minda, Baba V, snowhite, Asprin, Zogwale, Mzizi Mkavu, Bujibuji, usiniguse, Inkoskaz, TheDealer, saudari, Mamdenyi, mathematics, HYGEIA, ndetichia, nanjilinji, SURUMA, chardams, papaa2015, @hushinyo, Mwananhropolojia, JtheTATA, kamtu33, Mr Rocky, YNNAH, lachicaguapa, Rutashobora, Rich woman, REMSA, Godwishes, Lady doctor, arabera, Rweye, RutashubanyumaKOKUTONA:
Dad akishushwa kaburini, the worst moment ever!!!!​
 
Again pole sana na karib jamvini upoteze hata mawazao mkuu wangu. Tumepitia huko tunajua inavyouma kumpoteza mzazi. Mola aendelee kukupa tulizo la moyo.
 
Pole sana mammie poole saaana saaana, Kuna CD/DVD ya martha mwaipaja yaitwa OMBI LANGU KWA MUNGU, ina nyimbo za kutia moyo sana kwa wakati wa huzuni tunaoupitia, itafute mummie itakufariji saana.

Mimi ninapokuwa stranded na kukumbuka huwa naisikiliza na kufarijika. Mungu peekee ndiye mfariji wako wa kwanza, mpe yote and he will heal your pain with time.

Pumzika kwa amani baba yetu.
 
Nawashukuru sana kwa kunipatia faraja katika kipindi hiki kigumu. ahsanteni sana.
Last edited by kyanaKyoMuhaya; Yesterday at 21:38. Reason: S
​

We always mourn and lament of untimely death when and even before it occurs because we do not know where our loved ones go! We think they are in the grave where we have dumped them but the reality is pleasantly consoling if we can at least imagine what and how Paradise looks like...............................then we will envy the dead in Christ Jesus, MY GOD, because they are rejoicing being with the LORD forever and evermore. AMEN!
 
Daddy! "I don't regret for the things I've done, I only regret for the things I didn't do when I had the chance"

As for me, if I had power to rewind my life there are many things which I would love to alter but even then am not sure whether it could have been for the better.......................sometimes we delude ourselves that we have power to pray for the dead but the truth ought to be told we do not!

Read Galatians 6:7

"Do not be deceived, Christ Jesus My GOD is not and cannot be mocked. For whatever a man sows that he shall also reap."

Mwanadamu hawezi kuishi akimkashifu Kristu Yesu Mungu wangu khalafu ategemee ndugu na jamaa wamwombee asemehewe. Hakuna aina hiyo ya uchakachuaji kama unataka kumwombea mwombee akiwa hai ili ajirekebishe kwa kutubu na kuyaacha maovo yake lakini kama akifa huku akijivunia dhambi zake huwezi kuwa na msaada pale na ni vyema ukajiombea mwenyewe kama Kristu Yesu alivyowaasa wale akina mama waliokuwa wakimlilia wakati akielekea Kalvari kusulubiwa.

Luke 23:27-28


"And a great multitude of the people followed Him, and women who also mourned and lamented Him.

But Jesus, turning to them, said, "Daughters of Jerusalem, do not weep for Me, but weep for yourselves and for your children."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…