Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

As for me, if I had power to rewind my life there are many things which I would love to alter but even then am not sure whether it could have been for the better.......................sometimes we delude ourselves that we have power to pray for the dead but the truth ought to be told we do not!

Read Galatians 6:7

"Do not be deceived, Christ Jesus My GOD is not and cannot be mocked. For whatever a man sows that he shall also reap."

Mwanadamu hawezi kuishi akimkashifu Kristu Yesu Mungu wangu khalafu ategemee ndugu na jamaa wamwombee asemehewe. Hakuna aina hiyo ya uchakachuaji kama unataka kumwombea mwombee akiwa hai ili ajirekebishe kwa kutubu na kuyaacha maovo yake lakini kama akifa huku akijivunia dhambi zake huwezi kuwa na msaada pale na ni vyema ukajiombea mwenyewe kama Kristu Yesu alivyowaasa wale akina mama waliokuwa wakimlilia wakati akielekea Kalvari kusulubiwa.

Luke 23:27-28

"And a great multitude of the people followed Him, and women who also mourned and lamented Him.

But Jesus, turning to them, said, "Daughters of Jerusalem, do not weep for Me, but weep for yourselves and for your children."

Amen Rutashubanyuma.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mpendwa
@Arushaone, Chocs, kimo mchango, MTAZAMO, Bishanga, Mbuzi Mzee, Aine, omujubi, @gysonwin, Dark City, minda, Baba V, snowhite, Asprin, Zogwale, Mzizi Mkavu, Bujibuji, usiniguse, Inkoskaz, TheDealer, saudari, Mamdenyi, mathematics, HYGEIA, ndetichia, nanjilinji, SURUMA, chardams, papaa2015, @hushinyo, Mwananhropolojia, JtheTATA, kamtu33, Mr Rocky, YNNAH, lachicaguapa, Rutashobora, Rich woman, REMSA, Godwishes, Lady doctor, arabera, Rweye, Rutashubanyuma KOKUTONA na wana JF kwa ujumla ambao sijawataja kwa bahati mbaya au nimewapa like tu.

Nawashukuru sana kwa kunipatia faraja katika kipindi hiki kigumu. ahsanteni sana.
 
ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom