Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ynwa!....poleni sana:u, mamie+whole family.
pole sana mkuu
Pole sana mkuu pamoja na shemeji' Mungu awatie nguvu na muwe na imani ya kuwa ni kazi ya Mungu na kwake zote tutarudi
LFC, wifi na familia nzima,poleni kwa msiba MUNGU awatie nguvu na kuwapooza machungu haya.
Nashukuru sana Kamanda wangu! Haya ni mambo mazito lakini kwa kuwa MUNGU yupo hakika atayafanya mepesi!
Dah mkuu nimechelewa kuiona hii. Poleni sana wewe na shemeji. Mungu awatie nguvu na awafariji kwa Rehema zake nyingi. Jitahidi kuwa karibu sana na shemeji, tukio la hivyo linaweza kumwathiri vibaya, omba hekima na msaada wa Mungu na umuonyeshe upendo zaidi ktk kipindi hiki....YNWA.
Pole sana mkuu Mwenyenzi Mungu akupe nguvu pamoja na shemeji