Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

I know how you are feeling right now,it's very hard to accept the situation but MUNGU amekuandalieni jambo jema mbele ya maisha yenu wewe na mkeo,so pole sana and be strong buddy!
 
LFC, wifi na familia nzima,poleni kwa msiba MUNGU awatie nguvu na kuwapooza machungu haya.
 
Pole sana mkuu pamoja na shemeji' Mungu awatie nguvu na muwe na imani ya kuwa ni kazi ya Mungu na kwake zote tutarudi
 
Nashukuru sana Kamanda wangu! Haya ni mambo mazito lakini kwa kuwa MUNGU yupo hakika atayafanya mepesi!

Pole sana liverpul na familia yako. mungu na akutie nguvu ktk kipindi iki kigumu. amen.
 
Dah mkuu nimechelewa kuiona hii. Poleni sana wewe na shemeji. Mungu awatie nguvu na awafariji kwa Rehema zake nyingi. Jitahidi kuwa karibu sana na shemeji, tukio la hivyo linaweza kumwathiri vibaya, omba hekima na msaada wa Mungu na umuonyeshe upendo zaidi ktk kipindi hiki....YNWA.
 
Nashukuru sana Kamanda wangu!
 
Msiba kwetu sote utabaki kuwa kitu kigeni! Pole rafiki yangu. Mungu aendelee kuwapa nguvu
 
Back
Top Bottom