Mwanaukweli JF-Expert Member Joined May 18, 2007 Posts 4,786 Reaction score 1,715 May 15, 2020 #101 Baada ya Misa, mwili wa Prof. Mbunda unaingizwa kwenye gari ili kuelekea makaburi ya Kinondoni kwa maziko baada ya Misa. Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Misa, mwili wa Prof. Mbunda unaingizwa kwenye gari ili kuelekea makaburi ya Kinondoni kwa maziko baada ya Misa. Sent using Jamii Forums mobile app
secret file JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 5,843 Reaction score 8,637 May 15, 2020 #102 Mwanaukweli said: Baada ya Misa, mwili wa Prof. Mbunda unaingizwa kwenye gari ili kuelekea makaburi ya Kinondoni kwa maziko baada ya Misa. View attachment 1450949 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana mkuu hizi pic ni wazi ulikuwa karibu na proff
Mwanaukweli said: Baada ya Misa, mwili wa Prof. Mbunda unaingizwa kwenye gari ili kuelekea makaburi ya Kinondoni kwa maziko baada ya Misa. View attachment 1450949 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Pole sana mkuu hizi pic ni wazi ulikuwa karibu na proff
D dora JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 376 Reaction score 315 May 16, 2020 #103 Poleni sana...RIP Professor
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 May 16, 2020 #104 Mod ikishapita siku moja toeni Red Alert hiyo maana tukiona hivyo tunajua latest kumbe ina siku karibu 3.
Mod ikishapita siku moja toeni Red Alert hiyo maana tukiona hivyo tunajua latest kumbe ina siku karibu 3.
mpushi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 280 Reaction score 77 May 16, 2020 #105 Mwanaukweli said: Saa 7 mchana mwili wa Prof. Fulgens Mbunda ulifikishwa kanisa la Parokia ya Changanyikeni kwa ajili ya misa ya mazishi. Padre Dkt Fidelis Mgimwa wa RUCU anaonekana akiongoza Sala mlangoni mwa kanisa. View attachment 1450946 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu poleni sana sana, nmefurahi kumuona Fr Fidelis Mgimwa akiwa bado mwenye afya njema, mwl wangu wa social ethics 2010 Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaukweli said: Saa 7 mchana mwili wa Prof. Fulgens Mbunda ulifikishwa kanisa la Parokia ya Changanyikeni kwa ajili ya misa ya mazishi. Padre Dkt Fidelis Mgimwa wa RUCU anaonekana akiongoza Sala mlangoni mwa kanisa. View attachment 1450946 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu poleni sana sana, nmefurahi kumuona Fr Fidelis Mgimwa akiwa bado mwenye afya njema, mwl wangu wa social ethics 2010 Sent using Jamii Forums mobile app