Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Mwili wa VC Prof Mbunda ukiingizwa kwenye gari kuanza safari ya kwenda Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtawa ambaye kifo chake kilifichwa unaweza kumtaja kwa jina?Wewe hufuatilii vitu halafu unabishabisha tuu. Hukuona tangazo la kuwaondoa wafanyakazi wote chuoni na wakaambiwa watalipwa nusu mshahara? Unajua kilichosababisha lile tangazo kutoka?
Umeiangalia video ya huyo mtu anaekanusha?
Hajafa kwa corona, ila najua kuna watu watalazimisha
Huyo mtawa ambaye kifo chake kilifichwa unaweza kumtaja kwa jina?
Unaweza kutwambia alikuwa mwanafunzi au mfanyakazi?
Kama ni mfanyakazi, wa kitengo gani? Kama ni mwanafunzi, alikuwa akisomea nini?
Na alifariki lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa wazo hill, ungeandikia Uzi kabisa,kuliko kuwa ndan ya commentNapendekeza kuanzia sasa kwenda mbele kuwepo na jukwaa la matangazo ya vifo.
Kila utokeapo msiba, hata kama ni wa kijijini kwenu au wa jirani yako, taarifa zake zinawekwa huko.
Na atayetaka kujua leo kafa nani na kafia wapi, anaenda huko kwenye jukwaa la matangazo ya vifo.
Maxence Melo
Hiyo sababu inaeleweka kabisa,vigogo walikuwa wana uwezo wa kupata tiba nzuri ya uhakika nje ya nchi kuliko tiba ipatikanayo kwenye hospital zetu.Kuna mdau mmoja alileta mada ya msingi hapa jukwaan kuhusu vifo hasa vya watu wazito. Hivi vifo nimejaribu kufanya uchunguzi nimegundua watu wengi wana matatizo ya kiafya. Na kuna uwezekano wa kupata vifo vingi kutokana na watu kutokwenda India south Africa na ulaya walikokuwa wamezoea kwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lilikuwa rahisiKwa nini unaniuliza hili swali? Kwani nilichokisema kina utata wowote? Hilo swali ungewauliza wanaozushia wenzao vifo.
Umejiona ambavyo ulikuwa hujui, na hujui kwamba hujui...?Wewe ndiye hujui, hiki chuo kilifungwa baada ya wafanyakazi wake kufa kwa Corona. Kama huna data sahihi usijifanye kuhani. Sisi hivi vifo tunavifuatilia kuandaa takwimu muhimu!
Huamini coonaa ipo....Nyinyi akina nani na katika nafasi ipi na kwa mamlaka gani?