TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

Napendekeza kuanzia sasa kwenda mbele kuwepo na jukwaa la matangazo ya vifo.

Kila utokeapo msiba, hata kama ni wa kijijini kwenu au wa jirani yako, taarifa zake zinawekwa huko.

Na atayetaka kujua leo kafa nani na kafia wapi, anaenda huko kwenye jukwaa la matangazo ya vifo.

Maxence Melo
wanaoafiki waseme NDIYO
wasioafiki waseme SIYO
[emoji113]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekuelewa Sana , access ya kutibiwa hospitali za nje ilipopotea inaezekana tukawa nagonjwa wengi waliotakiwa ku attend clinics huko waki risk maisha yao hapa hapa ,

Nadhani Ni wakati sasa serekali ifikirie kuboreaha sekta ya afya , maana kwetu bado Hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nikuulize kitu fulani,hapa Bongo mtu kama una pesa za kutosha hakuna mahali au hospitali hata moja unaweza kupata tiba sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last time nilikutana na Prof Mbunda ilikuwa TMJ hospital wote tukiwa tumeenda kumuona The late Prof Mabele wa Ruaha, tuli spend almost a hour kumsubiri mgonjwa coz alikuwa dialysis. Ni mtu mmoja so humble na mcheshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Aina hii ya Wasomi vijana wa Sasa, tunaweza kuwapata humble Kama Prof. Mbunda?
 
Napendekeza kuanzia sasa kwenda mbele kuwepo na jukwaa la matangazo ya vifo.

Kila utokeapo msiba, hata kama ni wa kijijini kwenu au wa jirani yako, taarifa zake zinawekwa huko.

Na atayetaka kujua leo kafa nani na kafia wapi, anaenda huko kwenye jukwaa la matangazo ya vifo.

Maxence Melo
Lakini isiwe kwa watu mashuhuli...

Kweli leo Bashite nae akitutoka apelekwe huko?

Sent using iphone pro max
 
Saa 7 mchana mwili wa Prof. Fulgens Mbunda ulifikishwa kanisa la Parokia ya Changanyikeni kwa ajili ya misa ya mazishi.

Padre Dkt Fidelis Mgimwa wa RUCU anaonekana akiongoza Sala mlangoni mwa kanisa.
IMG-20200515-WA0029.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom