Unaweza kuwa unaongea ukweliMengi hakuwa anamiliki mali zote za IPP baada ya kutengana na mkewe familia iligawana share na wamiliki walikuwa ni (Mengi,Mercy,Regina na Abdiel) so hiyo 50% atakayopata ni kutoka kwenye share za Mengi na sio share zote za IPP
Baada ya ibada
Ndiyo mseeBaada ya ibada
Maaranguu babanguuuuNdiyo msee
Nambie babanguuuu....... Tukutane hapo mshiri tule mbusi mseeMaaranguu babanguuuu
Nilikuwepo kanisani, hujaniona?
nilikuja kukuona mwishoni mwa ibada mseeNilikuwepo kanisani, hujaniona?