Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Na kweli maana kuna kipindi alikuwa akiambiwa amefuata fursa alikiwa hakawii unakula block kwa kwenda mbele. Ila hapo uliposema ni mtutsi nimeshangaa kidogo maana kuna mtu alishaniambiaga kwamba jina lake 'Ntuyabaliwe' maana yake ni kwamba (kwa kinyarwanda) 'hujaambiwa' yaana majina haya ya kitutsi ni majina ya kifahari.Maisha na yule atakaempenda kiukweli,tatizo litakuwa huyo mwanaume na yeye atafuata fursa kwa Jack. Kama Jack alivyofuata fursa kwa Mengi.
Mfano Kagame maana yake ni mtu mbabe, mbishi, mgumu nk
Ila muda utaongea itabidi tuangalie nini kitatokea maana naona mpaka kuna ndugu zake wenye sura za kitutsi naona walikuwa washaingia mpaka Kwenye Dk. Mengi personal with disability project