TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Marehemu ndiye mke wa Mengi, hiyo mwingine ni Jambazi tu

Truth. Hivi Mengi asingekua na pesa, angekua tu ni mbaba wa watu ameretire zake, Klyn angempenda? Subutuuuu!!! Asingemuangalia hata mara mbili. Kwanza ndio angemwambia "Mzee huna haya una umri sawa na baba yangu...."
Klyn is there for the money, period. She can try to convince herself and others that it is true love, but she knows the truth. Na Mengi himself knows, since he has money why not get his money's worth? A younger woman to sooth his desires.
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)

Mwili utasafirishwa kuletwa nchini

RIP Mama.
He masikini alikuwa mzuri bado na uzee wake. RIP mama.
 
Habari Wana JF
Leo nilikuwa nasikia mahali redioni kuhusu mtu mmoja mwanamama Masa Anna Mengi
Nimesikia nimmojawapo ya waanzilishi wa IPP media amefia south africa
Leo mwili umeagwa
Mwenye kujua Taarifa zaidi za huyu pamoja na msiba tafadhari tunaomba wadau
 
Walitengana wakawa business partners heshima gani unataka zaidi ya hiyo? Acheni unafki..
Mke Mmoja Tu Na Kifo Ndicho Kitawatenganisha
Hakuna talaka kabla ya kifo, na kama walifunga ndoa takatifu hakuna namna zaidi ya kifo tu kwahiyo mapatano yao hayabadili msingi wa imani
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)

Mwili utasafirishwa kuletwa nchini

RIP Mama.
Umemetendea Haki Marehemu kuliko hata Mume wake!
 
Poleni sana wafiwa Mungu wetu ni mwema siku zote
Ampumzishe kwa amani
 
Chanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Meng* kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegir*.
DAH HUYO HOUSEGIRL KWELI HAKUDEDISHWA KWELI MAANA ALIINGILIA MISHENITOWN YA WATU NA KAMA HAPANA
KWA SASA HUYO HOUSEGIRL YUPO WAPI SASA HIVI NA BAADA YA HIYO SAGA , , KAMA BADO AKIWA HAIII ASEEEEEEEEEEEEE NI MKE ANAYEITAJIKA SANA KWA VIJANA KAMA SISI ASEEEEEEEEEEE
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)

Mwili utasafirishwa kuletwa nchini

RIP Mama.
Naomba kuuliza hivi jackline atathubutu kufika msibani kweli? aliyekufa ni kama mama yake na aliyemuoa ni sawa na babake daaaaah yaani aibu tupu
 
Back
Top Bottom