NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Rip
Nawahi siti
Ukweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Uchungu kivipi ?Mama kafariki kwa uchungu sana! R.I.P mama yetu..
ulikuwa kisu hasa
Makalio hua yanawawasha ndio maana wanaongea hivyoNawahi siti
Yaani huu ugonjwa wa nawahi siti tumekuwa kama wimbo wa jfMtu kafa wewe unawahi siti jiangalie usije na wewe ukawahi kuzikwa kabla yake!
Mods wanawachekea sana hawa wapuuziNini hiki umeandika!?
Watu wa "nawahi siti' vichwa vyao ni bongo lala, hawawezi kufikiri cha maana cha kukommenti, na wakati huo huo wanataka idadi ya posts zao iongezeke bila jasho JF.Yaani huu ugonjwa wa nawahi siti tumekuwa kama wimbo wa jf
Ila nadhani mod watoe angalizo kidogo maana mambo ya msingi mtu anaandika nawahi siti na hii imetokana na watu kuto kupewa karipio hatuwezi kuwa bize kujadili swala njeti kama hili mtu ame andikaWatu wa "nawahi siti' vichwa vyao ni bongo lala, hawawezi kufikiri cha maana cha kukommenti, na wakati huo huo wanataka idadi ya posts zao iongezeke bila jasho JF.
Mtumeee uwiiiChanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Mengi kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegirl.