ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HahahahaAna hela yule,izo ela mbuz zako kanywee supu
HahahahaAna hela yule,izo ela mbuz zako kanywee supu
Duh, hii kali walahiHuo msiba huko moshi ni zaidi ya harusi ccm na chadema ni mwendo wa kupigana vikumbo
Neno walahiMkuu huwezi jua pengine mama alikuwa anamuona mzee hamjali tena, na akikumbuka waliko toka lazima kichwa kimvuruge. Wakati mwingine sisi wanaume ni shida sana.
Mwambie Freemanson wanayodispensary ya kutibu watu hapo maeneo ya Mikocheni. Mbona hamuwafuati mkajiunge na chama chao?Wewe baki ukidanganywa freemason, freemason wakati wenzako wanafanya kazi. Karne hii mtu unadanganywa vitu vya kusadikika kama hivi.
Kumbe huyu mama alikuwa na Roho ya kuuaNi kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
Utauaje kitu ambacho hukukiumba wewe?Mkuu huwezi jua pengine mama alikuwa anamuona mzee hamjali tena, na akikumbuka waliko toka lazima kichwa kimvuruge. Wakati mwingine sisi wanaume ni shida sana.
Nadhani karibia ya wanawake wote wapo hivyo mioyo yao ikivunjika😀😀Kumbe huyu mama alikuwa na Roho ya kuua
Wanakufuata wewe sio wewe unawafuata walahiMwambie Freemanson wanayodispensary ya kutibu watu hapo maeneo ya Mikocheni. Mbona hamuwafuati mkajiunge na chama chao?
Vijana wa leo wakiona mtu anapesa tu washamsakizia ujinga
Hebu nipe mbinu hizo nizitunzeNdio afikie hatua ya kutaka kumtoa roho!? Alishindwa kutumia mbinu nyingine kabisa!
TrueUtauaje kitu ambacho hukukiumba wewe?
Huo mchongo bi mkubwa alipanga na hausigirl au?Chanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Meng* kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegir*.
Nina wasiwasi na huyo house girlMtumeee uwiii
Chanzo cha kutengana kwao: Ni baada ya jaribio la mama huyu kutaka kumlisha sum* mzee Meng* kufeli. Aliyemtonya mzee alikua housegir*.
Mambo mremboHahahaha
Gr8 walahi ndugu yangu, niambieMambo mrembo
Gr8 walahi ndugu yangu, niambie