TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Mrs Mercy Mengi mama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi) amefariki usiku huu taarifa zaidi zinafuata.

RIP Mama.
Huyu Mzee alikuwa na mke mzuri tu tena wa ujana wake akamtosa na kumwoa kahaba,hapo ndo nilimdharau sana huyu mzee
 
Ni kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum

Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
ndo maana alikuwaga hasikiki kabisa
 
Back
Top Bottom