MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Hivi nini kilitenganisha huyu mama na mzee? R.I.P
Wewe jamaa wewe!Apumzike kwa amani
.
Vipi, Aliugua kwa muda mrefu!??
Kaka umetuongezea assignment!Mengi is launching a smartphone factory in three months time...
Rip mama
Wanawake wa kimachame, isome kwa sauti ya Ufoo SaroSio hivyo, Dingi ndo alivumilia sana vituko vya mama... story ndefu sana hii....!
Mchango upi? Wacheni kuzusha...Wakati maana ukoo wa Shangali wanamchango mkubwa kwenye utajiri wake.
Watu past experience zenu zina wa haunt mnaishia ku generalize kila kitu ..wewe Mbeya mbona ulimkimbia mume ? Unajua sababu iliyofanya Mengi kumkimbia mkewe ?
Kwaiyo nyie ndio rafiki wa wanaume!!?Lazima afe huyu mama ameteseka kweli. Mwanaume siyo ndugu yako.
Mama alimpenda sana mzee na ameshiriki mno katika mafanikio. Kila mara alipata Marisol ya moyo kwa habari za mzee na totoz.
Niirudie rudie kwani ni mwimbo wa taifa?Hio ya kuwekewa sumu mzee mbona hutaki kuisema?
R.I.PHabari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)
Mwili utasafirishwa kuletwa nchini
RIP Mama.
ExactlyJackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
post huko juu husomi au?Hivi nini kilitenganisha huyu mama na mzee? R.I.P
Kama wewe ulivyomkimbia mume wako baada kukosa kuingia mjengoni.
Pole kwa wafiwa.Ila mleta mada vitu vingine hukupaswa kuandika.Mwanaume akifiwa usije andika kuwa mke wake wa kwanza au mwanawe pekee wa kiume au mwanae pekee wa kike au wa mwisho kafariki!!!!! Wanaume viumbe wa ajabu waweza mwita mke wa kwanza kumbe wako wengine kabla yake hata sita na waweza sema mwanae pekee wa kike au kiume au wa mwisho wakati wako kibao wengine.Andika tu aliyekuwa mke kafariki hayo ya wa kwanza sijui nini ondoa hayakuhusu
[emoji23] [emoji23]Niirudie rudie kwani ni mwimbo wa taifa?
Ngoo inuka nla uwe kumbwa iruweu,AmenHabari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)
Mwili utasafirishwa kuletwa nchini
RIP Mama.
Dingi anapenda totoziUkweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.