TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Naona Kei Lini atakua mke halali sasa kwa sheria za Tanzania
 
Ukweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Kwanza let me just enlight you
Access ya hela ya mengi anayo kubwa akiwa hai kuliko akifa...ukinielewa itakuwa vyema au lasivyo itabid nikuandalie essay moja matata ya uridhi nk esp watoto wakiwa below 18 nk tena kwa mtu mwenye hela kama yeye jua ni very very sealed to the kids akifa( wenzetu wanaita trust fund )...
Afu utasemaje huyu marehem kavumilia meng wakat chanzo cha mengi kuachana na mkewake wa kwanza tetesi ilikuwa kuwekewa sumu na alitonywa na mutie?
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Mrs Mercy Mengi ninmama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi)

Mwili utasafirishwa kuletwa nchini

RIP Mama.
Aaah kumbe, Abdiel ndio mke wa kwanza wa Mengi
 
Pesa kitu kingine.Kwa sababu mke wa tajiri umeandika " Rip mama" ila angekuwa mwenzangu na.Mimi am sure as hell usinge andika hivyo.

May Almighty Allah grant her Janatul Firdaus na kuwapa nguvu watoto wake na mume wake
 
Mengi alimnyanyapaa acha apumzike, Mungu akupi vyote mengi ana pesa lakini hana hekima. Hatofautiani na Bwana jiwe.

Sidhani kama wote tunajua full story ya kutengana kwao but nakumbuka Mengi aliwahi pewa hadi ulinzi na serikali ya Mwinyi, wakati huo anakaa Haidary plaza hadi lift zinalindwa. It was romoured the wife hired a hitman to finish him.
 
Kwanza let me just enlight you
Access ya hela ya mengi anayo kubwa akiwa hai kuliko akifa...ukinielewa itakuwa vyema au lasivyo itabid nikuandalie essay moja matata ya uridhi nk esp watoto wakiwa below 18 nk tena kwa mtu mwenye hela kama yeye jua ni very very sealed to the kids akifa( wenzetu wanaita trust fund )...
Afu utasemaje huyu marehem kavumilia meng wakat chanzo cha mengi kuachana na mkewake wa kwanza tetesi ilikuwa kuwekewa sumu na alitonywa na mutie?
Haipendezi kumsema marehemu kwa mabaya yake....sikumbuki ni utamaduni wa wapi vile...!
 
Back
Top Bottom