Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Wewe umezaliwa 98 utamfahamujeInauma kumpoteza binadamu mwenzetu. R.I.P though sijawaikukufahamu kabla
Wewe umezaliwa 98 utamfahamujeInauma kumpoteza binadamu mwenzetu. R.I.P though sijawaikukufahamu kabla
Kwa hyo unataka kuwazuia watu wasiseme mama?Mkuu, mnaojua kila mkileta moja moja, ndo watu wanapata cha kwenda kusemea kijiweni.
Basi we nifwate mimi walahiHahahaha
Funguo zimepotea jamani
Leteni Picha lote...sio trailers tuMkuu, mnaojua kila mkileta moja moja, ndo watu wanapata cha kwenda kusemea kijiweni.
OkBasi we nifwate mimi walahi
Waiting..
HahahahaWaiting..
Walahi plsHahahaha
Hivi kuna mtu ana pesa afu sio mtu wa totoz... yani ukiona mwanaume sio mtu wa totoz basi hela hana 99% ya malaya wa kiume wana pesaDingi mtu wa totoz long way back,
Tehmtu huwezi kutaka kumuwekea sumu from nowhere, lazima kuwe na sababu, yawezekana jamaa alitibua sehemu kitambo mpaka mama akaona iwe mbwai tu.
Umekosea kuquote...angalia vizuri.Kwa hyo unataka kuwazuia watu wasiseme mama?
Basi zuia comments kwenye uzi huu.
We mwenyewe najua unabaki unashangaa tu kwa kuyajua ambayo ulikuwa huyajui hapo kabla mama
I'm a gentleman...!Kwa hyo unataka kuwazuia watu wasiseme mama?
Basi zuia comments kwenye uzi huu.
We mwenyewe najua unabaki unashangaa tu kwa kuyajua ambayo ulikuwa huyajui hapo kabla mama
Mkewesijaelewa vizuri, alikuwa mke wa Mzee Mengi au ni Mama yake mzazi??
Ha ha ha,jamaa alitaka aokote dodo.
Yani mtu akuwekee sumu af uwe na hekima nae?? Peleka kule...na kwa taarifa yako mengi alimpa share ipp...we huoni anavong'aa hapo....??Mengi alimnyanyapaa acha apumzike, Mungu akupi vyote mengi ana pesa lakini hana hekima. Hatofautiani na Bwana jiwe.
Soma Biblia yako vizur mkuu....hata biblia iliruhusu talaka kutokana na mioyo yetu migumu ya kushindwa kusamehe
Asante. Kama unavyojua huyu Bwana alikuwa na Wake wawili... Nijuze ningeandikaje?Pole kwa wafiwa.Ila mleta mada vitu vingine hukupaswa kuandika.Mwanaume akifiwa usije andika kuwa mke wake wa kwanza au mwanawe pekee wa kiume au mwanae pekee wa kike au wa mwisho kafariki!!!!! Wanaume viumbe wa ajabu waweza mwita mke wa kwanza kumbe wako wengine kabla yake hata sita na waweza sema mwanae pekee wa kike au kiume au wa mwisho wakati wako kibao wengine.Andika tu aliyekuwa mke kafariki hayo ya wa kwanza sijui nini ondoa hayakuhusu
Aisee !! kwahiyo mzee alinyakua nyumba ndogo huku nyumba kubwa ikiwa hai !
Cha kushangaza hakuna hata kiongozi wa dini aliyekemea , Hakika pesa ni sabuni ya roho !
Sema nimezaliwa kolomije mimi sio wa 98 dogo. Huo mwaka niko drs la 7Wewe umezaliwa 98 utamfahamuje