PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
Pole kwa wafiwa.
TutaataarifuPoleni wafiwa. Mazishi lini ili nasi tutoe mchango wetu japo kidogo
Haya bana. Siku hizi anaitwa Regina Mziwanda.Apumzike kwa Amani mama,
sema mtoa mada umetoa taarifa juu juu sana,umeassume kama wote ni majirani wa Mengi,ni Regina Mwalekwa au mwingine?
Hapa naamin ni wachache tumekuelewMengi is launching a smartphone factory in three months time... [emoji1019] Rip mama
What if huyo unayemshauri ndio kipindi kigumu chenyewe?Jackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
So sad kuondokewa na mke...Jack sasa kawa mke kamili. Maana kifo kimewatenganisha Mercy na Reginald.
Mzee atakuwa amelipata alilolitafutaWhat if huyo unayemshauri ndio kipindi kigumu chenyewe?
Hapo ndo utawaelewa vizuri hawa viumbe kama wanaupendo wa ukweli au maigizo tu.Usikute Jackie mwenyewe anaomba kisirisiri mzee anyooshe ndio uone Mungu wa ajab anampa "many" maisha 2080.
R.I.P mama yetu
Duuh[emoji15]Dada mjini alishaanza kuchuja, Wakina Kinje walishatafuna sana sana BIgG. Kwa mzee ilikuwa life line lazima aitunze
Lkn sasa hivi katuliaDingi mtu wa totoz long way back,
So sad...Mama wa kichaga ametangulia...alifight sana Ku keep ile family together lakini wapi...
hivi EA Tv si ilikuwa chini ya mama baada ya mtiwe kufariki?