libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,478
- 3,647
Babu kazi yake kuitizama tuJacky ako poa hana tabu akiwa na tabu yupo kijana yuko us anamsaidia mzee kwahyo she is happily committed to mzee
Babu kazi yake kuitizama tuJacky ako poa hana tabu akiwa na tabu yupo kijana yuko us anamsaidia mzee kwahyo she is happily committed to mzee
Mkuu mbona waliachana kitambo!Ukweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Wale W alitoka mbali hata waachane walikoanza wanakujua ni kama dada na kakaMkuu mbona waliachana kitambo!
Ni kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikumWale W alitoka mbali hata waachane walikoanza wanakujua ni kama dada na kaka
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.Wale W alitoka mbali hata waachane walikoanza wanakujua ni kama dada na kaka
🙏🏾Ni kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
Sio hivyo, Dingi ndo alivumilia sana vituko vya mama... story ndefu sana hii....!Ukweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
rip japo sijakuelewaHabari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more.
Mrs Mercy Mengi mama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi) amefariki usiku huu taarifa zaidi zinafuata.
RIP Mama.
Bora alishatafuta mbadalaJackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
Kwahiyo huu msiba kwa Jack ni shangweJack sasa kawa mke kamili. Maana kifo kimewatenganisha Mercy na Reginald.
Mkuu hebu tupe japo kidogoSio hivyo, Dingi ndo alivumilia sana vituko vya mama... story ndefu sana hii....!
Noma nomaMkuu hebu tupe japo kidogo
Sawa mkuu nimekuelewaNoma noma
subiri tumalize msiba kwanza mkuu
Katulizwa! Anapewa beyond his desire! Aende wapi?Lkn sasa hivi katulia