mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
Mengi is launching a smartphone factory in three months time...
Rip mama
Kwamba una maanisha Mengi atafungua kiwanda cha simu sasa.
Mengi is launching a smartphone factory in three months time...
Rip mama
Vituko gani. Mwanamke mwanga tu alitaka kumuua mzee . aende zake tu kwa amani... Mzee achume Mali yeye ateleze kitonga tena kwa kutoa uhai. No no noooUkweli bila chenga. Lakini mama alivumilia mno vituko vya dingi.
Sijui una maana gani ulipotoa hii comment hapa lakini mimi nataka kusema hayo ''maradhi ya kisasa'' siku hizi siyo lazima uwe tajiri ili uishi. Kuna wengi nawafahamu (siyo matajiri) wanatumia dawa tangu miaka ya 2003-2005 na mpaka sasa wanaishi maisha ya kawaida kabisa. Ni kufuata masharti tu.Dada haya maradhi ya kisasa ukiwa na hela unadumu hata miaka 50 ni umaskini tu unaoua mapema
...Alimpa Zawadi gani huyo Housegirl??Ni kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
Wewe unafikiri alimpa zawadi gani?...Alimpa Zawadi gani huyo Housegirl??
Alifanya jambo la msingi kumuacha muuaji.Ni kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
Sio shangwe isipokuwa kufa kafaana wanasema wahengaKwahiyo huu msiba kwa Jack ni shangwe
Mkuu huwezi jua pengine mama alikuwa anamuona mzee hamjali tena, na akikumbuka waliko toka lazima kichwa kimvuruge. Wakati mwingine sisi wanaume ni shida sana.Alifanya jambo la msingi kumuacha muuaji.
Ndio afikie hatua ya kutaka kumtoa roho!? Alishindwa kutumia mbinu nyingine kabisa!Mkuu huwezi jua pengine mama alikuwa anamuona mzee hamjali tena, na akikumbuka waliko toka lazima kichwa kimvuruge. Wakati mwingine sisi wanaume ni shida sana.
Mkuu hizi ndoa zina siri sana!Ndio afikie hatua ya kutaka kumtoa roho!? Alishindwa kutumia mbinu nyingine kabisa!
Duh aisee wanawake banaNi kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
Kweli mkuu.Mkuu hizi ndoa zina siri sana!
Jackie ni mke mwenza eh?Jackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Dah unamaanidha "cuckold" huyo kijana ws US