Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
So unataka kusema ni sadaka takatifuMengi is launching a smartphone factory in three months time...
Rip mama
So unataka kusema ni sadaka takatifuMengi is launching a smartphone factory in three months time...
Rip mama
Ana hela yule,izo ela mbuz zako kanywee supuPoleni wafiwa. Mazishi lini ili nasi tutoe mchango wetu japo kidogo
[emoji15][emoji15][emoji15] dadavua japo kidogo?Sio hivyo, Dingi ndo alivumilia sana vituko vya mama... story ndefu sana hii....!
R.I.E.P Mrs. Mengi
Rest In Eternal PeaceHii inamaanisha nini nimekalili RIP!
Anyway RIP mama Mengi Original
We mchokozi weweeeJackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
Mke mkubwa sio mdogoApumzike mama,ana mtoto mwingine zaidi ya mapacha?
RIPHabari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more. Mama Mercy Mengi amefariki dunia usiku wa November 1,2018 katika hospitali ya Mediclinic Morningside Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Mrs Mercy Mengi mama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi) amefariki usiku huu taarifa zaidi zinafuata.
RIP Mama.