Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Dada mjini alishaanza kuchuja, Wakina Kinje walishatafuna sana sana BIgG. Kwa mzee ilikuwa life line lazima aitunzeJacky ako poa hana tabu akiwa na tabu yupo kijana yuko us anamsaidia mzee kwahyo she is happily committed to mzee